Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,216
- 113,519
- Thread starter
- #101
.....hivi na wewe umenasa mtego wa kujadili hili mkuu, unaweza kuletewa pay stubs mpaka za laki moja sasa badala ya milioni, nn kinashindikana kwa mfano!!! Tupige kazi tuachane na hii maneno!!!!!
Ndo umuhimu wa transparency unapokuja sasa.
Kupiga kazi bila transparency ni sawa na kulenga shabaha gizani.
Na bila transparency kamwe hatutaweza kuwa na utawala bora.
Hivi kwa mfano wewe binafsi hupendi kujua kodi unazolipa zinatumikaje?