MAFIE JR
Senior Member
- Feb 20, 2016
- 117
- 92
Hi all,
Binafsi napenda kumpongeza Paul Makonda kwa kuteuliwa kuongoza jiji la Dar hii ni safi sana kwa vijana inatupa moyo na faraga of working hard na kuwa wabunifu maana JPM anatukumbuka.
Makonda huyu nilitamani awe mkuu wa mkoa japo sikufikiria kama anaweza kupewa dhamana ya kuongoza jiji la Dar kutokana na uzoefu wake na umri pia maana nilidhani hekima kubwa itaitajika kwenye mkoa kama Dar, kumbe haiko ivyo things are different kweli all possible under the sun.
Leo pia nimeshangaa na nimejifunza kumbe Makonda ni bora zaidi ya Sadick maana yeye kupewa Dar na Sadick kupelekwa mkoa kama Kilimanjaro ni mshangao ila creativity matters a lot.
Vijana wenzangu popote ulipo piga mzigo maana Mungu hawezi kukutupa nani alijua Makonda atapewa ukuu wa mkoa wa Dar? Nani alijua Makonda anaweza kuwa zaidi ya Sadick? Hili liwe fundisho na motisha kwa vijana wenzangu popote ulipo be creative na kuwa na discpline ya kazi bila kujali maneno ya watu maana kama kusemwa alisemwa sana ila waliokuwa wanamsema wamebaki kinywa wazi na mshangao.
Hongera kaka Makonda na Mungu akupe hekima maana I can see you in higher positions kuliko hii in few years to come.
Nikipata mwaliko wako nitapita kukupa mkono wa kheri na nitakunongoneza kitu na ukinipa japo kuwa mkuu wa kata ndani ya mkoa huu nitafurahi ili nijifunze mengi kutoka kwako.
Mungu awe nawe
HapaKaziTu