Paulo Makonda akiwa kwenye pikipiki bila kuvaa helmet yeye na dereva wake

Basi sawa. ..Sheria kama zinafanya kazi kwa viongozi zichukue mkondo wake.....
 
Makonda amesifiwa kukimbia sasa anataka kupitliza kwao ila anafanya kazi nzuri ukilinganisha na DC wengine tz
 
Kama alimpiga waziri mkuu mstaafu kwa mikono yake mwenyewe na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa dhidi yake sasa unategemea nani atamchukulia hatua kwa kuoanda pikipiki..
Ni tanzania tuu huu ujinga unafanyika badala ya kuchukuliwa hatua kwa kile kitendo cha utovu wa nidhamu akapewa cheo
 
Sio yeye, umemfanisha. Duniani wawili wawili.
mkuu kwa kujenga hoja nimekukubali,hivi kweli nani yuko tayari kutuhakikishia kwa asilimia mia moja kwamba huyu ni makonda?kwa ushahidi gani?still picture haitoshi,kuna watu kufanana na pia siku hizi "photo shop"kwa kuunga unga sura halisi na mwili bandia nje nje.kwa hiyo tusidharau hoja yako.
 
View attachment 323738

Huu uvunjaji wa sheria tunasubiri kuona Paulo Makonda alichukuliwa hatua.
Tuna uhakika gani kwamba hujaunga sura ya mh.makonda kwenye mwili wa raia aliyepanda boda boda?manake hapa nilipo nami nikipata picha yako yoyote naweza kukutumia picha yako "fake"ukiwa unalihutubia baraza la usalama la umoja wa mataifa huku katibu mkuu wa umoja wa mataifa akikusikiliza kwa makini.
 
UKAWA kuna watu mnapenda sana kuwaona hawafanikiwi lakini mnabaki kuumia ndani kwa ndani. Mmehangaika sana na SMS ya waziri Muhongo Rais wala hajajisumbua kusikiliza upuuzi unaotoka midomoni mwenu. Huyu Makonda nae mnamsakama hovyo tu, na cheo kikubwa kinamngojea na kwa uwezo wake atapiga sana kazi. Chuki za kibwege hazijengi hata siku moja.
 
kwani hiyo picha ni uwongo porojo nyingi za nini?
 
Tuna uhakika gani kwamba hujaunga sura ya mh.makonda kwenye mwili wa raia aliyepanda boda boda?manake hapa nilipo nami nikipata picha yako yoyote naweza kukutumia picha yako "fake"ukiwa unalihutubia baraza la usalama la umoja wa mataifa huku katibu mkuu wa umoja wa mataifa akikusikiliza kwa makini.
bora ungezaliwa kipofu kuliko kupewa macho lakini huoni kwanza unajua picha za kuunganishwa?
 
Mzee huyu kijana anachofanya watu mnachukua seriazele
(msigwa's voice) lakni wote tunajua kuwa yuko kwenye maigizo tu.
 
Angevaa helmet ungejuaje kuwa ndo makonda? Helmet inazuia sura ya mtu isionekane. Na si vizuri kupanda boda boda halafu usijulikane kama umepanda bodaboda.
 
Back
Top Bottom