Paulo Kimiti: Mwalim Nyerere hakuwa na Majungu wala Umbea.

Ndikwega

R I P
Feb 1, 2012
5,979
5,524
Limeripoti Gazeti la Uhuru Leo. Ni dhahiri hata WanaCCM baadhi wameishaanza kuona Umbea wa Kiongozi mkuu wao. Maana naye kageuka kama Yule wa awamu ya nne ni Majungu, Umbea na Visasi majukwaani.

Yaani Nchi inakuwa kama inaongozwa na waimba taarabu.
Kama mnataka muonekane kama Nyerere tafadhali igeni yoote na si mengine mnabagua.

Hata hivyo nimemuelewa Mzee Mwinyi kuwa hakuna hata mmoja anayemsogelea Nyerere kwa mbaali. Sasa hivi tumerudishwa kwenye Ukabila ambalo Nyerere alipinga kwa nguvu zake zoote na akajitahidi kutuunganisha ili woote tuwe kama ndugu.
 
Mwalimu hakuwa fisadi.
2016-10-13 22.44.05.png
 
kwa miaka 20 na ushee viongozi wetu hawa wametufundisha chuki na ubaguzi.Ukisha kuwa mpinzani utaitwa majina yote Kibaraka wazungu nk nk.Najiuliza hivi huyu KIBARAKA wa wazungu si hao hao CCM na viongozi wao waliowauzia hao wazungu raslimali zetu?Si ndiyo hawa watawala walioko madrakani leo (Yaani Chama tawala) waliouza madini yetu kwa wazungu?Hebu imagine 97% inaenda kwa wazungu tunabakiziwa 3% hivi tujiulize aliyesaini hii mikataba si ndiyo anastahili kuitwa KIBARAKA?Na ndiye anastahili kuitwa FISADI?Kwanini hawa waliofanyw ahivi hawanyooshewi vidole?

Sababu ndani ya UVCCM wamejaa watoto wao na marafiki zao ambao nao ni wanufaikaji na uuzaji wa raslimali zetu.Akina Lizabon,Stroke,Nape nk nk tuelezeni hawa waliosaini mikataba ya KIPUMBAVU na KIJAMBAZI tuwaitaje?Na wamefanywa nini mpaka sasa.

Hakuna cha msafi ndani ya CCM wote ni wale wale.Wanafiki,wezi na wabaguzi
 
Hakuna wa kumfananisha na Nyerere mi nawashangaa watu.

Ukiondoa Mapungufu ya Utawala wa JKN hakuna mwenye moral authority ya kujifananisha na hata ukucha wa JKN.Meli chakavu tumeuziwa Bilioni 8,barabara zote zilizojengwa chini ya kiwango,Mwenge bilioni 220,unabana bilioni 6,ninauhakika alichosema JKN yale mazuri tuyaenzi mabaya tuyaache alijua fika Mwenge hauna tija unakula pesa za Taifa wakati watanzania wanakosa huduma za hospitali ungefutwa,leo tunabana bilioni sita tunajisifu na kusifiwa wakati tumetumia bilioni 220.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom