Manyau watampoteza kama walivyo fanya kwa PauloHuyu dogo natamani kweli atue pale MUFC
Habari wadau,
View attachment 480846
Mimi ni shabiki wa soka. Huwa naangalia mechi zote za mataifa makubwa Ulaya na soka la Bongo nikiwa naishabikia Kagera Sugar.
Sasa katika soka la Ulaya kuna mchezaji matata anaitwa Paulo Dybala. Huyu ni mchawi wa soka ambaye yupo katika ubora wake kwa sasa kuliko mchezaji yeyote duniani. Bahati mbaya kafichwa na vyombo vya habari ambavyo vipo kibiashara kwa Messi,Neymar,Ronaldo,Suarez na Pogba.
Kwa wasiofuatilia soka nje ya mipaka ya Uingereza na Spain sio rahisi kumjua huyu kijana.
Ana uwezo binafsi wa kubadilisha matokeo. Anajua anataka nini, anamiliki mpira kwa umahiri,anakokota vyema,anapiga mashuti ya mbali, penati zake ni uhakika 100% kutinga nyavuni.
Akiwa na miaka 23 tu namtabiria makubwa sana kutawala soka la dunia na kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa Dunia.
Sina mengi ya kumzungumzia, unaweza kumtizama
Nainngolan hawezi chezea JuventusHuyu dogo haondoki msimu ujao. Nadhani juve inatakiwa wamletee msaidizi wake ambaye ni radja Naingollan.
Kila zama na watu wake.Dogo yupo vizuri. Ila amechelewa kidogo. Angefanikiwa kucheza na maestro Pillo, Arturo Vidal na Marchisio angetisha sana.
Katika madogo wanaokuja juu
Paulo Dybala
Gabriel Jesus
Ousmane Dembele
Moussa Dembele
Kylian Mbappe
Julian Weigl(huyu mtamu sana anavyopiga simple pass kama Sergio Busquets)
Kuna dogo pia yupo Arsenal, Donyell Malen(baada ya msimu huu naye namtabiria makubwa sana)
Yote tisa, kumi namuelewa sana Marco Verratti
ili aue kipaji?Huyu dogo natamani kweli atue pale MUFC
Habari wadau,
View attachment 480846
Mimi ni shabiki wa soka. Huwa naangalia mechi zote za mataifa makubwa Ulaya na soka la Bongo nikiwa naishabikia Kagera Sugar.
Sasa katika soka la Ulaya kuna mchezaji matata anaitwa Paulo Dybala. Huyu ni mchawi wa soka ambaye yupo katika ubora wake kwa sasa kuliko mchezaji yeyote duniani. Bahati mbaya kafichwa na vyombo vya habari ambavyo vipo kibiashara kwa Messi,Neymar,Ronaldo,Suarez na Pogba.
Kwa wasiofuatilia soka nje ya mipaka ya Uingereza na Spain sio rahisi kumjua huyu kijana.
Ana uwezo binafsi wa kubadilisha matokeo. Anajua anataka nini, anamiliki mpira kwa umahiri,anakokota vyema,anapiga mashuti ya mbali, penati zake ni uhakika 100% kutinga nyavuni.
Akiwa na miaka 23 tu namtabiria makubwa sana kutawala soka la dunia na kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa Dunia.
Sina mengi ya kumzungumzia, unaweza kumtizama
Wewe unataka kijana wa watu asifanikiwe kisoka, mimi natamani sana atue pale Camp Nou.Huyu dogo natamani kweli atue pale MUFC
Wewe unataka kijana wa watu asifanikiwe kisoka, mimi natamani sana atue pale Camp Nou.
Ongeza na Julian BrandtsKatika madogo wanaokuja juu