Paulo afuata nyayo za Nape, atuma ujumbe kumwombea msamaha kwa aliowakosea

Ilw dharau kwa PM nadhaninilipita kipimo....sikuo lilizidi kuchwa....alitaka PM aqe anasujudu kwa RC kusa wote wateuliwa na eti rank moja bendeea sawa daaa....alijisahau hutu mtoto.....pensi nyanya anaenda ziara kupokelewa vyombo rasmi ulinzi usalama ...mdharau ilizidi acha apambane hali yake
Ila hiki ulichoandika mwanawane sijui ni ki nini aisee!
 
Makonda hakuna anayemtaka hata kumsikia sasa hv ndani ya CCM..

1: Mwenyekiti hataki hata kumsikia anatia kichefuchefu

2: Katibu Mkuu CCM ndio kabisa alivyomwaibisha akiwa DC, hapana aisee.

3: Alichomfanyia Ridhiwani Kikwete mnakumbuka? Sasa eti Msoga family imsaidie? Hilo halipo sahau kabisa. Hata ingekuwa mm nisingekubali milele.

4: Wanachama wengi ndani ya CCM ndio kabisaa hata kumsikia tu hawataki na wanajua jinsi watu wanamchukia, sbb siasa ni upepo.

Daudi his time was over.
 
mswahili bana, watu wanapiga hela, kijana ni tajiri

unamnyosha kwa lipi?

maskini bana
Unadhani msukuma hana pesa? Kwa nini anang'ang'ania ubunge?

Chenge hana pesa? Mo Dewji hana pesa? Kwa nini aligombea ubunge? Manji hana pesa? Kwa aligombea udiwani?

Stupid.
 
Makonda hakuna anayemtaka hata kumsikia sasa hv ndani ya CCM..

1: Mwenyekiti hataki hata kumsikia anatia kichefuchefu

2: Katibu Mkuu CCM ndio kabisa alivyomwaibisha akiwa DC, hapana aisee.

3: Alichomfanyia Ridhiwani Kikwete mnakumbuka? Sasa eti Msoga family imsaidie? Hilo halipo sahau kabisa. Hata ingekuwa mm nisingekubali milele.

4: Wanachama wengi ndani ya CCM ndio kabisaa hata kumsikia tu hawataki na wanajua jinsi watu wanamchukia, sbb siasa ni upepo.

Daudi his time was over.
Mbona hatoi tena misaada?
 
mswahili bana, watu wanapiga hela, kijana ni tajiri

unamnyosha kwa lipi?

maskini bana

unazungumzia hela?, hata sabaya ana mpunga mrefu tu. yupo jela kwa sasa.

wamarekani wana msemo wao, unasema "money, power and respect".

ukiwa na pesa halafu ukokosa power and respect unakuwa huna tofauti na raia wa kawaida katika nchi.

makonda kwa sasa anakosa power and respect. hilo jambo linamtesa sana huko aliko.
 
Duuh anarudi?? Twafa

Makonda, Gambo, Hapi, Sabaya, Jerry Muro, Chalamila n.k hawafai kwenye jamii hata kidogo

Watu hubadilika mkuu

Aliyekua mbaya aweza kuwa mwema na aliyekua mwema aweza kuwa mbaya kupitiliza

Hata Sauli aliyekua muuaji alipopata neema ya Mungu alimtumikia Mungu na watu kwa uaminifu na ukamilifu

Tusihukumu watu kwa historia
 
Wanaorithishana madaraka si Kikwete? Mke Mbunge mtoto Mbunge,kwani hakuna Watanzania wenye uwezo kuwa wabunge mpako iwe tu familia hii?
Vipi January Makamba yupo hapo kwa uwezo wake au kurithishana?
 
Toa GAMBO hapo una msingizia tu
Yote maguberi tu! Vile vile tunasahau yule mpumbavu aliyetandika watu wazima viboko! Huyo niliapa ikitokea kwangu itanibidi nife tu! Nitasambaratisha reception kabla walinzi hawajanidhibiti! na kuniua
 
Huwezi mlinganisha Nape na Paulo.
Nape tayari aliwiva kisiasa na hakuwa mporaji wa mali za umma na za watu binafsi.
Nape hakuwa na jinai, kutofautiana Nape na JPM ni misimamo ya kisiasa ambayo kuomba radhi mtu unaeleweka.

Paulo ni fisadi, na alifisadi mali nyingi za watu binafsi.
Paulo na Sabaya ngoma droo!
Unakumbuka yale ma BMW aliyopora toka kwa wafanyabiashara?
Nyumba za Masaki na kwingineko?
Paulo ana jinai and he should come clean.
Hata Mama akisema anamsamehe tutashangaa, kwa nini Sabaya afungwe na Paulo asepe kiulainii!
Inabidi wale wafanyabiashara waonane na mama au wafungue kesi ,Paulo BASHITE alichofanya ni zaidi ya SABAYA.
 
Wanaorithishana madaraka si Kikwete? Mke Mbunge mtoto Mbunge,kwani hakuna Watanzania wenye uwezo kuwa wabunge mpako iwe tu familia hii?
Vipi January Makamba yupo hapo kwa uwezo wake au kurithishana?

Kwani ulishawahi kwenda kuchukua fomu kugombea ubunge au udiwani ukanyimwa kisa mtoto wa fulani kachukua fomu!??

Pili usishangae ya CCM tu hata huku Chadema yapo sana, mzee wa Kichaga bw Mtei muasisi wa Chadema alimrithisha chama mkwe wake ndugu Freeman Mbowe, kilichofuatia ni kuanzia safu ya utendaji mpaka teuzi viti maalum ni wa kujuana tena based on ukabila na ukanda,,, humo utawakuta kina Lucy Owenya, mzazi mwenza wa Mbowe Joyce Mukya, dada yake Tundu Lissu akiitwa Christina Lissu na wengine kadha wa kadha
 
Back
Top Bottom