Paulo afuata nyayo za Nape, atuma ujumbe kumwombea msamaha kwa aliowakosea

Makonda hakuna anayemtaka hata kumsikia sasa hv ndani ya CCM..

1: Mwenyekiti hataki hata kumsikia anatia kichefuchefu

2: Katibu Mkuu CCM ndio kabisa alivyomwaibisha akiwa DC, hapana aisee.

3: Alichomfanyia Ridhiwani Kikwete mnakumbuka? Sasa eti Msoga family imsaidie? Hilo halipo sahau kabisa. Hata ingekuwa mm nisingekubali milele.

4: Wanachama wengi ndani ya CCM ndio kabisaa hata kumsikia tu hawataki na wanajua jinsi watu wanamchukia, sbb siasa ni upepo.

Daudi his time was over.
Lakini makonda bado ni kijana sana! Hao unaowataja ten years ahead wanaweza wasiwepo kwenye nafasi hizo na Makonda akapata nafasi tena vizuri tu! Hatima ya mtu haiko kwa watu ipo kwa Mungu tusikariri maisha!
 
Lakini makonda bado ni kijana sana! Hao unaowataja ten years ahead wanaweza wasiwepo kwenye nafasi hizo na Makonda akapata nafasi tena vizuri tu! Hatima ya mtu haiko kwa watu ipo kwa Mungu tusikariri maisha!

Kweli ubongo wa wengi ni dhaifu sana. Ujana ndio sbb ya kupata nafasi au madaraka au kuishi maisha marefu? So, sbb alikuwa kijana ndio alifanya upuuzi wote ule? Hivi una brain ww kweli?
 
Kwani ulishawahi kwenda kuchukua fomu kugombea ubunge au udiwani ukanyimwa kisa mtoto wa fulani kachukua fomu!??

Pili usishangae ya CCM tu hata huku Chadema yapo sana, mzee wa Kichaga bw Mtei muasisi wa Chadema alimrithisha chama mkwe wake ndugu Freeman Mbowe, kilichofuatia ni kuanzia safu ya utendaji mpaka teuzi viti maalum ni wa kujuana tena based on ukabila na ukanda,,, humo utawakuta kina Lucy Owenya, mzazi mwenza wa Mbowe Joyce Mukya, dada yake Tundu Lissu akiitwa Christina Lissu na wengine kadha wa kadha
Kweli kabisa hasa kwa mwenyekiti Mbowe nafikiri maagizo aliyopewa na baba mkwe ni mazito Sana,kwamba chama ni uchumi asimwachie mwingine ila siku kikikosa pesa hata chasaka anaweza kuwa mwenyekiti.
 
Atamuomba na Mzee Warioba pia ?

IMG-20141102-WA0010.jpg
 
Paul atarudi siku Mpango au Chongolo watakapoachia viti vyao. Aliwadhalilisha vyakutosha.View attachment 1981368
Alikuwa akinichanganya sana, maana kazi ilikuwa inapigwa kweli kweli, na akibutua anabutua kwelikweli.
Kama hii ya pensi duuh 😆 mbele ya wazee, kujisifia na kutaka attension viliharibu status yake.
Bashiru alikuwa anamkunja lkn mbishii, nilishuhudia kny ibada ya mazishi ya Dr Mengi Moshi kanisani, yaani alinidissapoint sana 😑
 
Unadhani msukuma hana pesa? Kwa nini anang'ang'ania ubunge?

Chenge hana pesa? Mo Dewji hana pesa? Kwa nini aligombea ubunge? Manji hana pesa? Kwa aligombea udiwani?

Stupid.
Acha kutokana watu

Unajua maana ya mamlaka?
 
Watu hubadilika mkuu

Aliyekua mbaya aweza kuwa mwema na aliyekua mwema aweza kuwa mbaya kupitiliza

Hata Sauli aliyekua muuaji alipopata neema ya Mungu alimtumikia Mungu na watu kwa uaminifu na ukamilifu

Tusihukumu watu kwa historia
Ila kila mtu lazima alipwe kutokana na mstendo yake ili wengine wajifunze kupitia yeye. Ile samehe saba mara sabini ibaki huko kwenye dini. Huku ukiua kwa makusudi kabisa utafungwa maisha au kunyongwa.
 
Mshahara wa dhami ni mauti, huyu mtu amefanya mabaya na ukatili sana kwa wenzake. Hana tofauti na jambazi sabaya.
 
Back
Top Bottom