Pauline zongo yuko wapi

Natafuta wimbo wa pauline zongo dunia kizungu zungu bila mafanikio mwenye nao anisaidie tafadhali
 
Wimbo wa Pauline Zongo unaoitwa nimeshindwa kuvumilia Kila lenye mwanzo Lina mwisho wake......haujapostiwa huku
Na mitandaoni haupatikani
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom