Paula wa Kajala athibitisha yupo kwenye penzi zito na Rayvanny mtu mbaya

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
10,479
34,751
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mtoto mzuri , mwenye umbo matata na mwenye asili ya kimamtoni Paula wa Kajala amethibitisha kuwa sasa yupo kwenye penzi zito na nyota wa bongo fleva ambaye pia ni mmiliki wa label ya Next level music anayetamba na kibao chake cha KELEBE alicho mshirikisha mega star from Kongo Innoss b, Rayvanny mtu mbadi...

Paula amepost akiwa amevalia vazi lenye rangi ya ngozi ya chui na kuweka ujumbe wazi huku pia emoj zikidhibitisha Hilo...

Ikumbukwe kuwa jina chui na sifa zake ni nembo anayotumia Rayvanny kwenye shughuli zake za music..

IMG_20210518_220036.jpg
 
Mwanzo ndivyo ulivyo katika mapenz,very hot.Siku ya kuzima huwa only onetime
Rémy Ongala (R.I.P) Aliimba mwanzo wa mapenzi ni utamu kama chungwa , katikati ya mapenzi uchachu kama limao na mwisho wa mapenzi ni ichungu kama shubiri.

Si wate wanaishi hisia uchungu kama shubiri. Wengi wanaishia kwenye uchachu wa limao. Uzeeni mnarudia tena utamu wa chungwa.
 
Rémy Ongala (R.I.P) Ali I’m a mwanzo wa mapenzi ni utamu kama Chung was, katikati ya mapenzi uchachu kama limao na mwisho wa mapenzi ni ichungu kama shubiri.

Si wate wanaishi hisia uchungu kama shubiri. Wengi wanaishia kwenye uchachu wa limao. Uzeeni mnarudia tena utamu wa chungwa.
Tutashukuru aisee
 
Back
Top Bottom