Paula wa Kajala athibitisha yupo kwenye penzi zito na Rayvanny mtu mbaya

Rémy Ongala (R.I.P) Ali I’m a mwanzo wa mapenzi ni utamu kama Chung was, katikati ya mapenzi uchachu kama limao na mwisho wa mapenzi ni ichungu kama shubiri.

Si wate wanaishi hisia uchungu kama shubiri. Wengi wanaishia kwenye uchachu wa limao. Uzeeni mnarudia tena utamu wa chungwa.
Maombi yako tafadhali
 
Mtaka yote kwapupa hukosa yote...mama unakula unataka namtoto .ushamba kazizito kwelikweli
 
Rémy Ongala (R.I.P) Ali I’m a mwanzo wa mapenzi ni utamu kama Chung was, katikati ya mapenzi uchachu kama limao na mwisho wa mapenzi ni ichungu kama shubiri.

Si wate wanaishi hisia uchungu kama shubiri. Wengi wanaishia kwenye uchachu wa limao. Uzeeni mnarudia tena utamu wa chungwa.
Ila nawewe umeandika haraka haraka hadi sukari ya maneno imeisha!!
 
Huyu mbona sio kajala?
images.jpg
ni huyu?? yaani mtani kwako hamna demu mkali hadi huyu awafunike au mnadanganywa na make ups
 
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mtoto mzuri , mwenye umbo matata na mwenye asili ya kimamtoni Paula wa Kajala amethibitisha kuwa sasa yupo kwenye penzi zito na nyota wa bongo fleva ambaye pia ni mmiliki wa label ya Next level music anayetamba na kibao chake cha KELEBE alicho mshirikisha mega star from Kongo Innoss b, Rayvanny mtu mbadi...

Paula amepost akiwa amevalia vazi lenye rangi ya ngozi ya chui na kuweka ujumbe wazi huku pia emoj zikidhibitisha Hilo...

Ikumbukwe kuwa jina chui na sifa zake ni nembo anayotumia Rayvanny kwenye shughuli zake za music..

View attachment 1790134
Ibara ya 3 (i) Katiba ya Umoja wa wanaume Bahili Tanzania (Uwabata).

Tafsiri ya maneno;
"Mzuri"- Mwanamke mrembo, pisikali, ana hela, anajitegemea, lips za kunyonya, shape 8, ana sauti nzuri.

Kwa kuwa umetumia vibaya uhuru wako Bwana Juma Lokole kwa kunukuu ibara hii ilihali ukifahamu kabisa huyo andunje unayemtaja ana lips kama soli za buti za mgambo, hana swaggs, ananuka mdomo, ana umasikini uliopitiliza, sisi kama mahakama kuu ya UWABATA tunakuhukumu kuvaa dela ndani ya wiki moja, na mwisho wa hukumu wewe pamoja na Ndugai mtapakwa KY kwa kazi maalum
 
Kijana kuwa makini nitakugeuza papai si mda boss
 
Ukinigeuza papai najipaka mafuta ya nazi najiingiza huko kwa mpalange kwako natulia kwenye utumbo wako mkubwa najinusia tu harufu ya haja kubwa...utakuwa umenirahisishia
 
Rémy Ongala (R.I.P) Aliimba mwanzo wa mapenzi ni utamu kama chungwa , katikati ya mapenzi uchachu kama limao na mwisho wa mapenzi ni ichungu kama shubiri.

Si wate wanaishi hisia uchungu kama shubiri. Wengi wanaishia kwenye uchachu wa limao. Uzeeni mnarudia tena utamu wa chungwa.
Ameeeeen
 
Ooooh kumbe bas sawaah.
Nyuzi kama zote nimeziona zina replies zako ndani ya muda mfupi uliopita. inaonekana ukiingiaga JF huwa unakagua kila jukwaa...leo Pacha nakupa cheo cha ukaguzi wa nyuzi za JF (CAG)
 
Yaan huwa nagusa kila angle na kuacha alama, sitaki kupitwa mie pacha.
 
Back
Top Bottom