Dr Dre
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 2,556
- 2,585
Binti wa taifa bongo banaa ngoja vanny akatie mimba kwanza ndo katatulia kama wenzake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana kamimba?
Wewe kipindi uko inlove hukuweza kusoma? Acha fitna dada..Kwa hiyo Paula shule ndio bye bye
Ameamua kuwa deep kwenye kulove,kufight na kulove again
Mtoto wa sekondari nae analove, fight na kulove again , noma sanaKwa hiyo Paula shule ndio bye bye
Ameamua kuwa deep kwenye kulove,kufight na kulove again
Shemeji yetu mtamu ๐๐Amesema yeye anataka aende college inayohusu masuala ya modelling and fashion, masuala ya kutafuta X na Y yeye hawezi
watakufa shingo zao zinatazama chini kwa aibu ๐๐๐๐Watu inawauma Sana nishaona๐
Kwa hiyo uchunguzi wa ile skendo yao bado unaendelea? DuuuhHuku penzi lao likiwa limeghubikwa na mikiki mikiki ya hapa na pale hata hivyo mwanadada huyo aisyeishiwa na vimbwanga ameonyesha kuwa yupo pamoja na Rayvann Kwa shida na Raha .....
Kupitia mtandao wa Snapchat Paula alipost picha akiwa ameibusu nguo inayodaiwa ni ya Rayvann na kuandika ujumbe" WE LOVE, WE FIGHT AND LOVE AGAIN"
View attachment 1758666
Katika hatua nyingine , Paula anatuhumiwa kama central figure wa kwenye njama za kumdhalilisha Kwa kuanika hewani "nyeti" za nyota wa Bongo fleva Harmonize, mchongo ambao inasemekana architecture wake ni WCB wasafi , waliomrushia chambo konde boy naye akakimeza, kesi hyo bado upelelezi wake unaendelea
Hii nchi unafiki haupo bungeni tu ๐๐๐๐๐ hata humu Jf upo unafiki wa hali ya juuHumu JF inaonekana kila mmoja ni mtu wa maadili na mabinti zao level ya Paula ni mabikra ๐๐คฃ