Paula wa Kajala apost picha Snapchat akiwa amemkumbatia Rayvanny Mtu mbaya

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
10,462
34,706
Huku penzi lao likiwa limeghubikwa na mikiki mikiki ya hapa na pale hata hivyo mwanadada huyo aisyeishiwa na vimbwanga ameonyesha kuwa yupo pamoja na Rayvann Kwa shida na Raha .....

Kupitia mtandao wa Snapchat Paula alipost picha akiwa ameibusu nguo inayodaiwa ni ya Rayvann na kuandika ujumbe" WE LOVE, WE FIGHT AND LOVE AGAIN"
IMG_20210420_221026.jpg

Katika hatua nyingine , Paula anatuhumiwa kama central figure wa kwenye njama za kumdhalilisha Kwa kuanika hewani "nyeti" za nyota wa Bongo fleva Harmonize, mchongo ambao inasemekana architecture wake ni WCB wasafi , waliomrushia chambo konde boy naye akakimeza, kesi hyo bado upelelezi wake unaendelea
 
Rayvan na mziki wake usioleweka nashauri awekeze zaidi ktk biashara kuliko mbunye, akianza kusuasua ulipaji wa bill, akina kajala wanapita ivi.
 
Huyu sio mtoto tena ni jitu zima...
basi kenyewe kanaona kanapendwa kumbe wanakachokesha tu....
badala ya kuhangaika kusoma kanahangaika na malimwengu....
sshv atachakaa
Mnaongea utafikiri mademu wa umri wake uko mtaani hawagongwi wanasubiria kuolewa.
Maisha hayanaga formula msimalize maneno.
 
Huyu mtoto ananikumbusha enzi zile Sepenga anasumbua jiji...km hatabadilika ataishia kua km sepenga...maana shule kichwani hakuna, bi mdashi mdangaji, baba hana bahari...siioni future ya haka katoto zaidi ya kutembezewa miti hadi kajizeekee. Kana miaka km 15 max baada ya hapo hakatakua na dili tena.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom