Paula wa Kajala apost picha Snapchat akiwa amemkumbatia Rayvanny Mtu mbaya

Alvajumaa

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
3,745
2,000
Kesho na keshokutwa unakuta watu wa maigizo wanampa nafasi aigize basi yanasonga
 

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
16,544
2,000
Huku penzi lao likiwa limeghubikwa na mikiki mikiki ya hapa na pale hata hivyo mwanadada huyo aisyeishiwa na vimbwanga ameonyesha kuwa yupo pamoja na Rayvann Kwa shida na Raha .....

Kupitia mtandao wa Snapchat Paula alipost picha akiwa ameibusu nguo inayodaiwa ni ya Rayvann na kuandika ujumbe" WE LOVE, WE FIGHT AND LOVE AGAIN"
View attachment 1758666
Katika hatua nyingine , Paula anatuhumiwa kama central figure wa kwenye njama za kumdhalilisha Kwa kuanika hewani "nyeti" za nyota wa Bongo fleva Harmonize, mchongo ambao inasemekana architecture wake ni WCB wasafi , waliomrushia chambo konde boy naye akakimeza, kesi hyo bado upelelezi wake unaendelea
Kwa hiyo uchunguzi wa ile skendo yao bado unaendelea? Duuuh
 

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
7,706
2,000
Ndugu zangu watanzania tuungane.
tuungane kumpiga mboo huyu mtoto
Amechagua mwenyewe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom