Mrs Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 1,002
- 2,272
Bora useme wewe maana wenye team zao wameshafika. Wema ni zilipendwa kwenye showbiz. Yani mtu amuache Paula aende kwa wema?? Akina wolper walijua mapema wakaweka bizness zao...yeye akawekeza kwenye kufuga mashoga. Kiko wapiiUko sahihi wema angekuwa hata na diploma angebebeka na angekuwa mbali Sasa yeye aliwekeza kudanga na kusahau elimu wakati mwili umekongoroka, joketi kilichomsaidia ni shule yake pia bila hivo angekuwa ka wema