Paula anaweza kuwa msichana mwenye mafanikio mpaka dunia ikashangaa

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
8,654
2,000
Brand!!!! kama hana product endelevu ya kupeleka sokoni yenye demand kubwa ni kumpoteza maboya mtoto wa watu. Hana chochote cha kufanya zaidi ya uvideo vixen, photoshoot kutangaza brand za watu kwa malipo kiduchu labda sana na event appearance nazo kwa malipo kiduchu.

Nchi yetu bado ni masikini, hivyo hivyo na industry bado ni masikini sana, issues kama Gigs na showbize bado hazina pesa kiasi hicho, na kwa wasanii hakuna msanii anaweza kuja na bidhaa yenye brand yake akaipush sokoni ika-boom. Wapo akina Flavian matata baada ya uwekezaji mkubwa wanapush product zao zinatoka lakini sio kwa ukubwa huo.

Paula kutengeneza pesa hizo mnazomuaminisha kupitia jina kibongo bongo ni uongo, labda kutengeneza umaarufu ambao utampa "pesa madafu tu". Njia walizopita akina Kyle Jenner huku haziko applicable.
Nakupenda binti kiziwi limoyo langu linadunda dunda
 
snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
16,941
2,000
Hamna kampuni yenye akili utataka kuitumia Paula.
A bad influence.
Tofauti na wengine, yeye u bad influence wake umekuwa kipindi ni mwanafubzi, under age.

Ni zaidi ya disaster.
Lulu kitu kilichomwokoa ni kipaji cha uigizaji.
Kwamba baada ya yoooooteee, alibaki na talent.

Huyu sasa, anyways!!
 
BuenosAires

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
1,041
2,000
View attachment 1849613

Nimeona mitandao ikimbeza sana Supastaa wetu mpya wa kike Tanzania mtoto wa Kajala aitwae Paula.

Wengi wanamchukulia Paula kama mtoto wa kike aliyeshindikana na amepoteza uelekeo wa maisha.

Wengine sababu ya elimu sababu hakufanya vizuri darasani. Na kuna wanafki wanasema kaanza mapenzi akiwa mdogo.

Mimi nataka niwaambie endapo Paula akisimamiwa vizuri na akaitumia mitandao kama sehemu ya kupiga hela basi atakuwa na pesa nyingi mpaka watu washangae.

Anachohitaji sasa hivi ni kupata management nzuri na branding nzuri.

Habari za Paula zinafatiliwa kuliko sociolite yoyote wa kike kwa hapa bongo sasa hivi. Huu ni mtaji mkubwa sana kwake kuliko hivyo veti mnavyoona ndio dili. Kazi ni kwake kubadili kelele za mitandao kuwa pesa atajenga ataendesha gari analotaka na anaweza kuwa na biashara kubwa tu akiwa na umri mdogo.

Watu wa showbiz nafikiri watanielewa zaidi.

Sawa mkuu paula tumekusikia, na asante kwa taarifa. Mama hajambo lakini?
 
snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
16,941
2,000
Wanakosa washauri wazuri tu hawa watu katatatuliwa marinda akija kushtuka 28 hii hapa wamemgombania kama mpira wa kona 😂😂😂 anabakia na aibu kama wema
Kajala kamkosea sana huyu mtoto.
Nikikumbuka maisha alikuwa nayo enzi hizo Jitegemee!
Ilibidi awe mlinzi sana wa mwanae.
Wenzie tulikuwa wehu ila watoto wetu tunalinda kama mboni.
Sijui mama wa aina gani yule.
Af hajaaaaali aiseeeh.
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
41,611

Ana tatizo flani nadhani! She is so out of control! That child was supposed to be exiled from what her mom is doing for a living! Abakie kuwa mtoto tu atleast kuwe na mipango mizuri kwa ajili ya maendeleo yake ila kuachwa ajiendee kama mbuzi mara dating na wasanii, picha za ajabu, clubbing ni vitu ambavyo alitakiwa awe restricted ili kulinda image yake kwenye jamii ila ndio hivyo mama kichwa maji ataharibu image ya mtoto reference ije kuwa tu ni malaya
 
Kabisa.
Yani unaridhikaje mwanao kuwa na same bitter path ile.
Kajala nn asichojua kuhusu kutumika kingono, P funk ana tofauti gan na rayvanny wa leo.
Na huyu canny ni sasa.
Way back huko kulikuwa na dogo janja, sijui kina nani.
Mtoto kachakazwaaaaa, mamake yuko anacheka cheka tu kama mbweha.
Mi nilipata first born when 17.
The nilivyo over protective nae, Siku aliniambia mom, relax I understand your pressure.
I won't be you.
Mwaka wa pili now UD, mpk namuadmire.
Sasa ndo nikitizama kajala najiuliza, ule uchungu wa kuzaa mtoto umri ule mwenzenu aliusahauje?

Leo anamexpose mtoto kwenye vitu ambayo, dah!!
 
Akili mbovu tu
 
Mrs Bishanga

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
1,004

Duh people have eaten some salt
 
sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
1,004
2,000
Umaarufu una mwisho wake , Elimu haina mwisho msimpotoshe, wako wapi akina nora? , wema?
Umaarufu una mwisho ila ukiutumia vizuri unakulipa mara 100 ya elimu. Wema ana maisha mazuri kuliko mamilion ya graduates na angekuwa mbali sana kama sio drugs.
 
Mwalimu wa tuisheni

JF-Expert Member
Oct 19, 2019
1,841
2,000
View attachment 1849613

Nimeona mitandao ikimbeza sana Supastaa wetu mpya wa kike Tanzania mtoto wa Kajala aitwae Paula.

Wengi wanamchukulia Paula kama mtoto wa kike aliyeshindikana na amepoteza uelekeo wa maisha.

Wengine sababu ya elimu sababu hakufanya vizuri darasani. Na kuna wanafki wanasema kaanza mapenzi akiwa mdogo.

Mimi nataka niwaambie endapo Paula akisimamiwa vizuri na akaitumia mitandao kama sehemu ya kupiga hela basi atakuwa na pesa nyingi mpaka watu washangae.

Anachohitaji sasa hivi ni kupata management nzuri na branding nzuri.

Habari za Paula zinafatiliwa kuliko sociolite yoyote wa kike kwa hapa bongo sasa hivi. Huu ni mtaji mkubwa sana kwake kuliko hivyo veti mnavyoona ndio dili. Kazi ni kwake kubadili kelele za mitandao kuwa pesa atajenga ataendesha gari analotaka na anaweza kuwa na biashara kubwa tu akiwa na umri mdogo.

Watu wa showbiz nafikiri watanielewa zaidi.
 
sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
1,004
2,000
Brand!!!! kama hana product endelevu ya kupeleka sokoni yenye demand kubwa ni kumpoteza maboya mtoto wa watu. Hana chochote cha kufanya zaidi ya uvideo vixen, photoshoot kutangaza brand za watu kwa malipo kiduchu labda sana na event appearance nazo kwa malipo kiduchu.

Nchi yetu bado ni masikini, hivyo hivyo na industry bado ni masikini sana, issues kama Gigs na showbize bado hazina pesa kiasi hicho, na kwa wasanii hakuna msanii anaweza kuja na bidhaa yenye brand yake akaipush sokoni ika-boom. Wapo akina Flavian matata baada ya uwekezaji mkubwa wanapush product zao zinatoka lakini sio kwa ukubwa huo.

Paula kutengeneza pesa hizo mnazomuaminisha kupitia jina kibongo bongo ni uongo, labda kutengeneza umaarufu ambao utampa "pesa madafu tu". Njia walizopita akina Kyle Jenner huku haziko applicable.
Anacho kikubwa tu ambacho kina demand kwenye soko la burudani.

Paula anauza story kwa hiyo anachohitaji ni kupata usimamizi mzuri wa kugeuza story zake kuwa pesa kubwa.

Kuna pesa nyingi sana kwa Paula ni vile nikiandika sana itakuwa kama nafanya free consultancy.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom