Paula anaweza kutumia urembo wake kama sehemu ya kujitengenezea future

ukiniambia huyu ni mrembo kwa picha za filter, nakataa huyu sio mrembo kabisa kabisa. msimpe kichwa jamani
 
Mara nyingi sana unakut hawana akili ya kutafuta pesa ,zaidi ya kukata mauno na kula borooo

Eg wema

Hamissa

Kichwan empty set ,ila mbunye zinachakazwa
 
Halafu akisha zeeka na uzuri umekwisha ..utamshauri nini!? Asome... Akimaliza kuelimika atajua mwenyewe namna ya kukabiliana nahizo changamoto.
 
Wa kumjengea huo msingi mzuri wa kutumia vizuri mitandao imfaidishe ni yupi sasa? Hizi takataka kama ile iliyoenda kumuuza kwa mwanaume? Mama mwenyewe ndiyo huyo kigoma cha mkwezi! Nani atakua technical advisor wake? Ukiongozana na wezi nawewe utaitwa mwizi!
 
Back
Top Bottom