Paul Miliango Rupia, Gabinus Edgar Maganga, na Eric Sikufua Ng'maryo njooni mtusaidie aliyekamata Airbus yetu anatudai kweli?

Sasa mkienda hivi mtapata jibu.
Badala ya kuleta lawama Kwa chadema.
Mkumbuke na kesi nyingine mkiletewa samans muwe mnaenda.
 
Naona tunataka kujificha kwa makosa ya mwanzo na kutaka kutupa lawama kwa Mwalimu
Watu wa ajabu sana. Juzi kwenye mkutano wa SADC aliyofanya mwalimu yooote kina kabudi wanaya refers kama "tuliwatunza wakimbizi" "tulisaidia ukombozi" "tulijitoa sana kwa hali na Mali" na kila sifa yote ni ya pamoja.
Leo ndege kushikwa deni la Nyerere? Hata ukimuuliza yule waziri anayetoa macho utadhani kabanwa na mlango atakujibu "wewe hujui sikia sisi tunaojua" blabla mwanzo mwisho.
 
Hapa Nyerere alifeli na awamu ya pili na ya tatu zilifeli kabisa !!sasa mh rais wetu anabeba mizigo ambayo hakuisababisha!! Pole sana rais wangu!jipe moyo.Utafika tu Mungu yuko pamoja nawe kwa kila jambo
Kwa kwa huyu failure madeni anayoyaiachia nchi hii ni ni zaidi ya hilo deni huyu ndio zero kabisa aalipe deni kwanza aache ujuuaji
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom