Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

A
Na Mungu atusaidie, Huu ni ushindi mkubwa kwa wote wanaomwamini YESU.

Yesu alisema ukiwa na imani kama punje ya haradali basi waweza amisha milima, imani ya MAKONDA na MAGUFULI ndiyo YESU amezungumzia, nakwambieni maisha yanarudi kama zamani, piga keleleeeeeee

Amina Hon Judge
 
Mbona Huyu Kama anajipigia kampeni ? Anayofanya alipaswa kutafanya Bosi Wake ! Aache maigizo

Anaenda sehemu anakuta kuna jambo linaendelea Kama ujenzi anajifanya kupiga simu na kuuliza ujenzi unaanza lini πŸ˜‚ hizi drama

CHATO ule msikiti unaendelea na ujenzi kawaida tokea Wiki juzi alafu anafika anajifanya kuuliza ujenzi unaanza lini ? πŸ˜‚

Hospital geita inajengwa tayari alafu anafika anampigia @AngellahKairuki kwamba ujenzi unaanza lini hadharani πŸ˜‚ na uzuri Huyu Mama hakuwa na papara naye akamjibu kiukubwa zaidi, maigizo maigizo maigizo

Kule kagera stend Bukoba imeanza kujengwa Week mbili baada ya mkandarasi kupewa kila kitu na ubomoaji wa Stend ya zamani ikaanza ujenzi wa mpya πŸ˜‚ eti anaiagiza serikali ijenge ndani ya miezi mitatu πŸ˜‚

Tumemuona @innobash juzi akiwa ana ongea kwamba Samia kaidhinisha Pesa ya kujenga km 1 toka Rwamishenye hadi kanoni na baadae zitaongezeka 600M kujenga hadi stend! Na ujenzi ushaanza kitambo Sasa Makonda anasema serikali ianze ujenzi ndani ya miezi mitatu πŸ˜‚ maigizo haya Ni makubwa sana eti na Daraja kanoni lipanuliwe wakati mkandarasi Yupo kazini kitambo
 
Hivyo hivyo, mbona Mama yenu anafanya maigizo kila siku hatusemi, zamu yetu, tuacheni bana
 
Anachokifanya ndicho alichotumwa kukifanya!! Wenye akili zao wanajua hivyo!! Kuna nguvu kubwa sana nyuma ya Makonda. Ukimwingia kichwa kichwa utaumia kama alivyoumia Nape mwaka ule!!
 
Hahaha, tena aliumia vibaya sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom