Perfectz
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 8,844
- 27,550
Ni bora anaetumika na mabeberu kuliko anaemuabudu Mungu mtuRais Magufuli ni nahodha bora ametuvusha salama kwenye corona
Vibaraka wa mabeberu wanaenda kuaibika vibaya
Ni bora anaetumika na mabeberu kuliko anaemuabudu Mungu mtuRais Magufuli ni nahodha bora ametuvusha salama kwenye corona
Vibaraka wa mabeberu wanaenda kuaibika vibaya
Akiwa katika ujenzi wa daraja la Tanzanite, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wakazi wake kufanya fujo za hali ya juu ikiwepo kupiga kelele kwa nguvu zote na watu kwenda beach kama ishara ya kumpongeza Rais kwa kuishinda COVID 19.
Pia Makonda amewataka watu wote waliokimbià Corona Dar warudi haraka kwani kifo hakikimbiwi.
Chanzo: Global TV Online.
Rais Magufuli ni nahodha bora ametuvusha salama kwenye corona
Vibaraka wa mabeberu wanaenda kuaibika vibaya
Ahhahahaha mkuu umenifurahisha sana hahahahahahha....Bashite ni zero kabisaaKuishinda corona nisawa nakupata cheti cha Form four cha Makonda, au PhD ya Magufuli.
Huyu mtu ni wa kumpuuza, Corona ipo na inaua. Huu ushauri wa kipumbavu atakaye ufuata basi atakuwa ni mpumbavu zaidi ya wapumbavu wote duniani.Akiwa katika ujenzi wa daraja la Tanzanite, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wakazi wake kufanya fujo za hali ya juu ikiwepo kupiga kelele kwa nguvu zote na watu kwenda beach kama ishara ya kumpongeza Rais kwa kuishinda COVID 19...
Mungu atusamehe maana tumechanganyikiwaAkiwa katika ujenzi wa daraja la Tanzanite, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wakazi wake kufanya fujo za hali ya juu ikiwepo kupiga kelele kwa nguvu zote na watu kwenda beach kama ishara ya kumpongeza Rais kwa kuishinda COVID 19...
Hivi mnajua kuwa watu hawawapeleki wagonjwa wao hospitali..!!? Maana wakipelekwa tu wanawekwa sehemu bila huduma na mwisho hufa... sasa wanaokwenda hospitali kutafuta takwimu, takwimu za huko si za kweli..Akiwa katika ujenzi wa daraja la Tanzanite, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wakazi wake kufanya fujo za hali ya juu ikiwepo kupiga kelele kwa nguvu zote na watu kwenda beach kama ishara ya kumpongeza Rais kwa kuishinda COVID 19...
Mkuu siku za hivi karibuni nakuelewa sana. Naomba nikwambie kuwa me ni fan wakoKuishinda corona nisawa nakupata cheti cha Form four cha Makonda, au PhD ya Magufuli.
Usisikilize wanasiasa! Jukumu la afya yako ni wewe mwenyewe. Corona bado ipo. Chukua tahadhari. Jilinde wewe na watu wengine.
Jiulize kwanini hawatoi takwimu?!
Kiukweli hali bado haijatengemaa kuweza kuwapa watu uhuru wa namna hiyo..