Paul Makonda njoo Majohe uone vituko

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,233
12,508
Majohe iko Ilala Gongo la Mboto DSM.

Kuna mkandarasi aliyepewa kutengeneza barabara ya Kampala - Majohe ambaye Sina uhakika Kama unapata taarifa ya ujenzi wa barabara hiyo. Huyu mkandarasi anawachonganisha wanachi na serikali yao huna budi kuja kumsikiliza shida yake.

Kusema ukweli anakutia aibu na serikali pia. nikisema sana yatakuwa majungu bora ufike mwenye ujiridhishe.

Hii ni ile barabara ya Kampala - jeshini- kanisani - mji mpya - Bwela hadi Rada.
 
Daa niliiacha imefifa hapo Kona kwenye kota zao kumbe haijafika majohe bado?
Majohe iko Ilala Gongo la mboto DSM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daa niliiacha imefifa hapo Kona kwenye kota zao kumbe haijafika majohe bado?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasubiri No 1 aende akatoe amri. Iko siku litatokea tukio litakalohitaji no. 1 aende kwa kutumia barabara hiyo ndiyo kila kitu kitafahamika.
Sasa hivi ni mwezi mmoja magari hayapiti eti uwekaji wa kalafati lililoharibiwa na mvua haujakamilika
 
mkuu funguka nini shida
Mkuu Kuna tanroad na tarura na wahandisi wa wilaya na mkoa waende wakachungulie wenyewe maana ndiyo kazi yao. Wasisubiri Rais aende huko na kukutana na maswali na maoni ya wananchi wa maeneo hayo.
 
mkuu funguka nini shida
Nitafunguka siku Rais akikatiza maeneo haya, inshallah tuombe MwenyeziMungu siku hiyo itokee siku za usoni. Maana hii ni ile barabara inayotumika kufika kwenye magorofa ya wapiganaji wetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom