Paul Makonda ni sawa na Usain Bolt asiyemaliza mbio

Kinachomchanganya anashindwa kupiga dili kwa kuwa manispaa ziko chini ya ukawa. Ndo maana kila siku anahangaika na matamko kwenye media.
Anasimama anasema meya atafute shuhuli nyingine hizi kazi za jiji ni zake yeye, na anamsisitiza eti meya aingie ofisini Mara 2 tu kwa week eti kwa kuwa hana kazi.
 
Tatizo la Makonda ni kujiona na kujichukulia kuwa yeye naye ana ukuu na hadhi ya kulinganishwa na Rais wa Jamhuri...muda si muda ataangukia hiyo pua yake kubwa!
 
Unaweza kuta akaweka kisasi na kuanza kumsumbua eddo wakati no bonge la ushauri
 
Back
Top Bottom