Paul Makonda, Mrisho Gambo waisindikiza Ndege Zimbabwe mpaka Zambia

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,312
Leo ndio siku rasmi ndege yetu imezindua safari ya Tanzania-Zimbabwe-Zambia.

Ajabu wakuu wa mikoa Paul Makonda na Mrisho Gambo wameonekana wakisindikiza ndege hiyo, yaani gharama za kutoka Tanzania, Zimbabwe to Zambia kwenda na kurudi eti sababu kubwa ni kushuhudia ndege hiyo ikifanya safari ya Kwanza.

Hongereni wakuu wetu wa mikoa kwa uzalendo uliotukuka.
Picha wakiwa uwanja wa Keneth Kaunda Zambia.
Tunajivunia%20matunda%20ya%20Nchi%20yetu%2C%20leo%20Air%20Tanzania%20imetua%20na%20kuanza%20s...jpeg
 
Leo ndio siku rasmi ndege yetu imezindua safari ya Tanzania-Zimbabwe-Zambia.

Ajabu wakuu wa mikoa Paul Makonda na Mrisho Gambo wameonekana wakisindikiza ndege hiyo, yaani gharama za kutoka Tanzania, Zimbabwe to Zambia kwenda na kurudi eti sababu kubwa ni kushuhudia ndege hiyo ikifanya safari ya Kwanza.

Hongereni wakuu wetu wa mikoa kwa uzalendo uliotukuka.
Picha wakiwa uwanja wa Keneth Kaunda Zambia.View attachment 1029194
"RAMDA" wamejilipia wanaenda "ZIMBABWE" kama alivyosema ROMA MKATOLIKI.
 
Leo ndio siku rasmi ndege yetu imezindua safari ya Tanzania-Zimbabwe-Zambia.

Ajabu wakuu wa mikoa Paul Makonda na Mrisho Gambo wameonekana wakisindikiza ndege hiyo, yaani gharama za kutoka Tanzania, Zimbabwe to Zambia kwenda na kurudi eti sababu kubwa ni kushuhudia ndege hiyo ikifanya safari ya Kwanza.

Hongereni wakuu wetu wa mikoa kwa uzalendo uliotukuka.
Picha wakiwa uwanja wa Keneth Kaunda Zambia.View attachment 1029194
Huu utawala hautakaa uache vituko
 
Back
Top Bottom