Paul Makonda, Mrisho Gambo waisindikiza Ndege Zimbabwe mpaka Zambia

Leo ndio siku rasmi ndege yetu imezindua safari ya Tanzania-Zimbabwe-Zambia.

Ajabu wakuu wa mikoa Paul Makonda na Mrisho Gambo wameonekana wakisindikiza ndege hiyo, yaani gharama za kutoka Tanzania, Zimbabwe to Zambia kwenda na kurudi eti sababu kubwa ni kushuhudia ndege hiyo ikifanya safari ya Kwanza.

Hongereni wakuu wetu wa mikoa kwa uzalendo uliotukuka.
Picha wakiwa uwanja wa Keneth Kaunda Zambia.View attachment 1029194

Wameisindikiza kwani ilikuwa inaumwa? Kwani wao ni mafundi wa ndege? au ni hili ikiaribika waisukume kama ile iliyokuwa inasukumwa kule Zanzibar?
 
Wakuu wa Mikoa kusindikiza Ndege ni rekodi ya dunia , aliyeleta wazo atunukiwe nishani
Makonda baba nataka niisindikize ndege
Jpm hakuna shida kijana wangu nenda tu
Makonda baba si na rafiki yangu naye ataenda
Jpm nani huyo?
Makonda:Mrisho
Jpm:kama ni huyo ruksa
Makonda: Gambo jiandae baba nimeshampanga huku
Gambo:haaaaahaaa nakuaminia
Ngoja niandae suit yangu
 
Hii ilikua ni first Ethiopia Eritrea commercial flight ambayo ilikua kama public holiday, marais wote wapo hapo tatizo watanzania wengi ni ushamba na lack of exposure mbaya kabisa kila mtu ni expert kwenye kila kitu
Screenshot_2019-02-22-18-06-53.png
 
Hii ilikua ni first Ethiopia Eritrea commercial flight ambayo ilikua kama public holiday, marais wote wapo hapo tatizo watanzania wengi ni ushamba na lack of exposure mbaya kabisa kila mtu ni expert kwenye kila kitu View attachment 1029275
Mkuu redeemer unajua hapo matukio hayo ni mawili, kuna tukio la kuipokea na kuzunguka nayo , sasa wetu wanazunguka nayo
 
Back
Top Bottom