Tetesi: Paul Makonda kuwa Makamu wa Rais 2020/2025

Status
Not open for further replies.
Kama hizo tetesi zako zitakuwa kweli, basi Jiwe anataka kuvunja Katiba waziwazi......

Hakuna uwezekano, kwa mujibu wa Katiba, kama Rais anatoka Tanganyika na makamu pia atoke Tanganyika

Bali ni takwa la Katiba ya nchi kuwa kama Rais anatoka Tanganyika ni lazima Makamu wake awe mzanzibari
Hivi katiba bado ipo??
 
Nimeshangaa kuona mtu ameshindwa kuona hata mambo madogo kama hayo!! Yaani hata vifungu muhimu vya katiba yetu watu ni kama hawavijui!
Mkuu Chige mimi nililiona hili mwanzo kabisa, lakini nikajisema sibishi kwasababu Tanzania hakuna kinachoshindikana. Mpaka kufika umri huu nimethibitisha hilo tayari.
 
Mpaka sasa huamini kama amevunja Katiba kwa mambo mengi? au mpaka afanyeje ndio tuamini kama kafanya yote nje ya Katiba atashindwa nini kwenye hili tukubali kama Taifa tumeingia Chaka
Kama hizo tetesi zako zitakuwa kweli, basi Jiwe anataka kuvunja Katiba waziwazi......

Hakuna uwezekano, kwa mujibu wa Katiba, kama Rais anatoka Tanganyika na makamu pia atoke Tanganyika

Bali ni takwa la Katiba ya nchi kuwa kama Rais anatoka Tanganyika ni lazima Makamu wake awe mzanzibari
 
Daaah kwahiyo watabadilisha katiba kipengele cha umri ?
Halafu unamaanisha Raisi atatoka Zanzibari mwaka 2020 ?
Makamu wa Raisi atakuwa na miaka 38. Sikupingi kabisa, lolote linawezekana Tanzania.
Hahahahaaa,,,,,,comrade tusubiri haya yote yanawezekana CCM sio wamchezo mchezo kama mabox ya kuhifadhia kura yaliweza kupitishwa na police bila wasimamizi kujua itakuja kushindikana hili
 
Mkuu Chige mimi nililiona hili mwanzo kabisa, lakini nikajisema sibishi kwasababu Tanzania hakuna kinachoshindikana. Mpaka kufika umri huu nimethibitisha hilo tayari.
Unayosema ni kweli kabisa, kwa hii nchi, hakuna linaloshindikana! Lakini kwa hili, ni gumu sana kuwezekana na kikwazo wala sio hilo la umri bali kufanya hivyo itamaanisha kuwanyanganya Wazanzibari haki yao ya kikatiba!!!

Sioni ni kwa namna gani unaweza kuwashawishi Wazanzibari wakubaliane na hilo... Wazanzibari ambao ndani yake kuna Wapemba wasiopenda ujinga!!! Wallah,let them try waone moto wake... kama hawajagawana mbao!

"Yakhe si tulisema huyu Tanganyika ni Mkoloni Mweusi huyu... sasa si mnaona! Yaani tumemwondoa Sultan halafu bado na huyu Mkoloni Mweusi anataka aendelee kututawala! Hakika hatuwezi kubali na kama ni Muungano, potelea mbali na ufilie mbali huko!"
 
Baada ya Makonda kuthubutu kuukemea ushoga kwa nguvu zote napendekeza the next, time apandishwe hadi kuwa prime, minister,
 
Unayosema ni kweli kabisa, kwa hii nchi, hakuna linaloshindikana! Lakini kwa hili, ni gumu sana kuwezekana na kikwazo wala sio hilo la umri bali kufanya hivyo itamaanisha kuwanyanganya Wazanzibari haki yao ya kikatiba!!!

Sioni ni kwa namna gani unaweza kuwashawishi Wazanzibari wakubaliane na hilo... Wazanzibari ambao ndani yake kuna Wapemba wasiopenda ujinga!!! Wallah,let them try waone moto wake... kama hawajagawana mbao!

"Yakhe si tulisema huyu Tanganyika ni Mkoloni Mweusi huyu... sasa si mnaona! Yaani tumemwondoa Sultan halafu bado na huyu Mkoloni Mweusi anataka aendelee kututawala! Hakika hatuwezi kubali na kama ni Muungano, potelea mbali na ufilie mbali huko!"

Mkuu Chige wazanzibari wanaonewa sana lakini ukweli ni kwamba hadi huko visiwani wajinga wapo.
Hivi mtu kama Jecha unamweka kwenye kundi gani labda ?? Yaani waTZ tuna majanga sana....
 
Hahaaa! Wa-Zanzibar aina ya Jecha wala sio kwamba wanaonewa... in fact wanafahamu wanachokifanya na hawana tatizo sana na wanachokifanya hata kama ni kwa shingo upande! Nasema hivyo kwa sababu ma-CCM Zanzibar yanafahamu kwamba, kuendelea kuwapo kwao madarakani kunategemea CCM Bara kwa kiasi kikubwa!

Hao ni CCM-Zanzibar Ruling Class!!

Sasa hawa CCM Ruling class wakithubutu kufanya kama anachosema britanicca, basi wajiandae kuiba kura kwa kutumia vifaru na brigade za jeshi manake uibaji wa kawaida hautawasaidia!

That's one but two, wana-CCM Vigogo wa Bara wenye busara sidhani kama wanaweza kuruhusu uhuni kama huo! Kuruhusu uhuni huo itakuwa ni kama kuifufua serikali ya Tanganyika in other way around!! Yaani huku JPM ndie Rais, kule Bashite ( or the like) Makamu wake... PM nae ndo hivyo aendelee kuwa Braza Maja or the like! Hiyo ni serikali ya Tanganyika, and there'll be no justification!

Hawa wenye CCM na nchi yao wameapa kuulinda muungano na Mwenge wa Uhuru kwa gharama yoyote ile! Na hata vigogo wa Bara wanavyo-engineer kumpora madaraka Maalim Seif wala si kwamba wanawapenda sana akina Mohammed Shein na CCM Zanzibar kwa ujumla bali wanafahamu Seif akishaingia pale, muungano waliokula yamini kuulinda utakuwa kwenye majaribu ya karne!!! Ukweli usio na shaka Wazanzibari wengi hawaupendi kabisa muungano na kama ni lazima, basi ni serikali 3!

Sasa kama watakuwa tayari kukifumbia macho kiashiria hatari kabisa kinachoonesha hatimae kuna serikali ya Tanganyika, basi ningefurahi sana hilo litokee kwa sababu, ningefurahi sana kuona wanavyovurugana.
 
Wazanzibari watanyamazishwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom