Paul Makonda kufikishwa Mahakamani Februari 3, 2022 katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka

Uyu_Binadam_kama_angekuwa_Uwaziri_wa_Mambo_ya_ndani_au_Rais_Sijui_Tanzania_ingekuwaje_%3F_%F0%...jpg
 
Kwa kushitakiwa na kubenea?

Ingekua jamhuri, hapo mtu unaweza kuwaza!

Vipi clouds wakigoma kutoa ushirikiano! mutawalazimisha?

Maana huo ndio ushahidi pekee kila mjinga anashabikia!

Kuhusu mauaji hata USA wameshindwa kutoa ushahidi!
Wapi huko USA walishindwa kutoa ushahidi?
 
Ahahahahahaha! Watu walioshindwa maisha mnapenda ligi ya kuwaombea mabaya waliofanikiwa! Ahahahahahaba!!
Anaenda kunyea debe kama sabaya.
Angemtuma mtu azime CCTV kwanza kama kwa lissu hivi sasa jamaa yenu mavi yana muuma kila wakati. Labda aseme kwenye CCTV ni Bashite yeye ni makonda kudadadeki.
 
Mwisho wakasema Abebwe , halafu akabebwa juu juu , hii ndio ile siku aliyoshiriki wizi wa kura Jimbo la Ukonga
Ila hili suala huenda kubenea anatuongopea sana, hii Ni Mara ya 3 inafika tarehe alafu hakuna kinachoendelea.
 
Mnajisumbua tu yaani miafrica bana inafurahiiii kuona mwenzao anavyo umia ....wa kumfungulia kesi ni Gujiwe kwa sababu alikuwa hajafikia kinga ya uraisi mstaafu!!! kwa awamu zote mbili!!

Sheria inamkinga Rais mtaafu kwa awamu zote mbili!! km ukiongoza awamu moja au moja na nusu sheria hiyo haikukingi kwa chochote!

kisheria Kaburi linashtakiwa na kutumikia kifungo!....linapigwa pin tatizo letu hatujuagi haya mambo ya kisheria! tunakurupuka tu!! hivi Lisu hupitagi humu!

kiafrica africa mtaanza ooh kumdhalilisha marehemu!! hakuna hiyo lazima awajibike kwa mauaji, Mungu alisema asiue yeye anaua!! ashtakiwe muone km Tanzania hamtakuwa nchi ya viwanda!

Ila Makonda yeye alitumwa tu!..muacheni!
 
Back
Top Bottom