Paul Makonda, Kigamboni na Kazi yake ya Ukuu wa Mkoa, Nini kitafuata au ndio amekuwa raia wa kawaida

hii ni picha la kihindi...makonda ameshafeli vibaya...yani ndio ameshaangukia pua...ilibidi iwe hivyo ili ionekane kuwa haki inatendeka...
 
Wajumbe kura za maoni Kigamboni hawakumuelewa Mwenyekiti wao wa Taifa. Aliagiza nchi nzima wamletee watu atakaoweza kufanya nao kazi, wenyewe wamempatia mtu aliyemkataa kwa sababu ya kuwatoenenda naye😂😂
 
"Kingine, unakuta mtu ni Naibu Waziri wa Afya halafu jimboni kwako hupeleki madawa. Ndio maana nikaona bora nimpumzishe."

Hii ni kauli iliyotoka wakati Ndugulile ametumbuliwa na Molel anaapishwa. Mnategemea nini?

IMG_20200719_084852.jpeg
 
"Kingine, unakuta mtu ni Naibu Waziri wa Afya halafu jimboni kwako hupeleki madawa. Ndio maana nikaona bora nimpumzishe."

Hii ni kauli iliyotoka wakati Ndugulile ametumbuliwa na Molel anaapishwa. Mnategemea nini? View attachment 1512693
Bora asiyepeleka dawa jimboni kwake mara milioni moja kuliko Bashite. Bora achaguliwe hata nyoka awe mbunge kuliko Bashite Makonda.
 
Sisi walipa kodi kigamboni hatuchaguliwi kiongozi tunachagua kiongozi sasa wafanye mafyongo waone makonda hanna mvuto wa kisiasa mara kumi mzee rugwe tumpe jimbo si makonda
 
Naomba kujua, baada ya mabadiliko haya je Walimu dar tutaanza kulipa nauli kwenye daladala ?
 
Back
Top Bottom