Paul Makonda kidedea TAHLISO awabwaga marais UDSM, UDOM..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Paul Makonda kidedea TAHLISO awabwaga marais UDSM, UDOM.....

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by WILSON J, Dec 13, 2011.

 1. WILSON J

  WILSON J Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Paul Makonda ambeye ni waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi wa MUCCOBS amewaragaraza marais zaidi ya sita kutoka katika vyuo vya elimu ya juu hapa Tanzania katika kinyang'anyiro cha kugombea uraisi wa TAHLISO. Paulo Makonda ambaye pia ni kada maakini wa CCM ameudhibitishia umma kwamba yeye ni kiongozi anayekubalikana ana mvuto kwa watanzania ndani ya ulingo wa siasa na nje pia. Nani kama MAKONDA???
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Dec 13, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Mkweree ni kama Makonda
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kazi tunayo kama hadi chuo kuna ukada
  RIP Tz
   
 4. JOHN MADIBA

  JOHN MADIBA JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  huyu kijana inawezekana akafika mbali hata akawa rais au waziri wa tanzania hapo badae, hana skendo chefu za kifisadi
   
 5. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #5
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Wewe ndo kama makonda unashabikia jambo la kijinga kwa wenye akili kwani ccm wameanza leo kuweka mapandikizi yao huko tahliso
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Namkubali sana paul makonda only alivyomchana aka alivyompa makavu live Rostam Aziz
   
 7. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #7
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  mkikua mtaacha
   
 8. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,340
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 180
  tahliso imekufa coz viongozi wanaoongoza ni vilaza na waoga hakika huyo hawezi kutetea maslai ya wanafunzi bali ya wanasiasa. mfano mdogo ni first year wa mwaka 20110/12 waliandikiwa no loans but tahliso hawajatoa tamko lolote.
   
 9. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #9
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,340
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 180
  hizi mbwembwe 2
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  wenyewe wanafurahia kuwin vitu vya kijinga jinga tu,na wakati wenzao huku tumepgania haki kibao za wanafunz ambazo znawanufaisha had wao huko kwenye vyuo vyao vya kata lakn hatuna mbwembwe.
   
 11. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #11
  Dec 13, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  acha kuropoka wewe afu we mshamba wa elimu
   
 12. JOHN MADIBA

  JOHN MADIBA JF-Expert Member

  #12
  Dec 14, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kuna rafiki yangu mmmja kaniambbia makonda ndiye anayeweza kuvaa viatu vya nyerere.....
   
 13. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #13
  Dec 14, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  What is TAHLISO?
   
 14. Imany John

  Imany John Verified User

  #14
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Majibu ya ki TBC yanajulikana tu.
   
 15. mchadema

  mchadema JF-Expert Member

  #15
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  hahahaaaaa!!! hv huyo jamaa hajamalizaga tu MUCCOBS, du!!! alianzia ngazi chini ya cheti au........... kazi kweli kweliiiiiiiiiiiii....:lol::lol:
   
 16. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #16
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mmmmmhhhhhh.....

  huyo kilaza au kiaz vibaya, yaan cjuw kwa nn kachaguliwa kuwa rais, pumbaf zake!!"""
   
 17. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #17
  Dec 14, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mmmmmmhhhhhh
  mimi nilimkuta na nimemuacha hapo..... ni kiaz tuuuuuuuuu

  mara ana-disco kisha anaanza upya!!!!!!!! mjingaaaaaaaaaa wa kutumia masaburiiiiii
   
 18. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #18
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  labda avae viatu vya ****** kilaza mwenzake!
   
 19. don-oba

  don-oba JF-Expert Member

  #19
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 1,384
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nimetapika niliposikia ni kada wa ccm.
   
 20. v

  valid statement JF-Expert Member

  #20
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Amewagaragaza MARAISI zaidi ya sita?
  Ikiwa na maana yeye pekee ndiye aliyegombea akiwa na cheo cha waziri mkuu.
  ILIKUWAJE uchaguzi uliohusisha maraisi wa vyuo vikuu ashinde waziri mkuu?
  Kwanini huyo raisi wa MUCCOBS hakugombea?
  Au huko MUCCOBS mnatumia itikadi kama ya ujerumani, waziri mkuu ndiye mwenye nguvu na mamlaka kiutendaji kuliko raisi?
   
Loading...