waalimu kusafiri bure kwenye daladalaTatizo lenu mmemchukulia serious mno!
Binafsi nilishaacha kumuona kama ni mtu serious na namuona kama mtafuta kick tu.
Ni jambo gani alilowahi kutangaza limefanikiwa mpaka sasa tangu azipate hizo nyazifa? Ukijijibu hili basi hilo hutalishangaa.
Daa! Niko njia panda, hebu funguka nikusome mkulu!Ndege wafanano...
Wabongo unafiki umezidi. Sasa mpewe pickup kwa kuongoza kwa uchafu. Acha unaaAcha kihere here! We ndio Paul makonda?
Yuko bize kwanza na zoezi la uhakiki wa silaha...Sijawahi kuona kiongozi anayetoa ahadi nyingi ambazo hazitekelezeki kama huyu
Mtaa wetu tumekesha na mafagio tukifagia lakini hadi leo hatulioni gari letu la washindi
Je makonda umetudanganya?
Au zilikuwa ni kick?
============
AHADI: Mkuu wa Mkoa wa Dsm kutoa zawadi ya gari kwa Mwenyekiti wa mtaa utakaoongoza kwa Usafi
Sijawahi kuona kiongozi anayetoa ahadi nyingi ambazo hazitekelezeki kama huyu