Paul Makonda, iko wapi ile zawadi ya Pick-up ya mtaa utakaoongoza kwa usafi?

Kwani alisema atatumia criteria zipi kupima huo usafi hadi kumpata mshindi?!
 
choko-jpg.361188


Makonda apiga simu Clouds Tv 360 kukemea ushoga

Ndege wafanano...
 
Tatizo lenu mmemchukulia serious mno!

Binafsi nilishaacha kumuona kama ni mtu serious na namuona kama mtafuta kick tu.

Ni jambo gani alilowahi kutangaza limefanikiwa mpaka sasa tangu azipate hizo nyazifa? Ukijijibu hili basi hilo hutalishangaa.
waalimu kusafiri bure kwenye daladala
 
Sijawahi kuona kiongozi anayetoa ahadi nyingi ambazo hazitekelezeki kama huyu

Mtaa wetu tumekesha na mafagio tukifagia lakini hadi leo hatulioni gari letu la washindi

Je makonda umetudanganya?

Au zilikuwa ni kick?
============

AHADI: Mkuu wa Mkoa wa Dsm kutoa zawadi ya gari kwa Mwenyekiti wa mtaa utakaoongoza kwa Usafi
Yuko bize kwanza na zoezi la uhakiki wa silaha...
Akimaliza hilo ataendelea na kuwafukuza machangudoa mjini...
Then awarudishe ombaomba makwao...
Kisha amalizie kujenga makao makuu ya Bakwata...
Baadaye ahakikishe Daslam inageuka pori kwa kila mtu kupanda mti wake...
Afu ajenge vituo 20 dar ambavyo vitakuwa na maRPC
Baada ya hapo ndio afutilie agizo la usafi kila jumamosi ndio mletewe Pick Up yenu ili mumsaidie kuwaondoa mashoga mjini na kuhakikisha zoezi la kupiga marufuku uvutaji wa shisha limefanikiwa.
 
Alimpa mtobolewa macho boxer sijui ngapi na bajaj sijui ngapi baadae mahakama ikamfutia kesi scorpion ikabidi wanyamaze
 
Vipi kuhusu ombaomba,shisha,mashoga,madada poa,kuja dar kwa viza,sensa ya mtaa kwa mtaa yaani ahadi hewa kibao alafu mukulu ndo anamuona jembe lake.
 
Huyu mtu mumemkalia kooni sijui kama usingizi anapata kipindi hiki,asije tu akajirestisha in peace mwenyewe akarudisha jezi kwa mola
 
Sijawahi kuona kiongozi anayetoa ahadi nyingi ambazo hazitekelezeki kama huyu

Mtaa wetu tumekesha na mafagio tukifagia lakini hadi leo hatulioni gari letu la washindi

Je makonda umetudanganya?

Au zilikuwa ni kick?
============

AHADI: Mkuu wa Mkoa wa Dsm kutoa zawadi ya gari kwa Mwenyekiti wa mtaa utakaoongoza kwa Usafi


Ha ha haaa

Hamna aibu kyfanya usafi sababu ya gari.

Inaonyesha yotote aliyefanya usafi sababu ya gari ni mchagu mchagu haswa.


Watanzania hamjipendi wengi wachagu mnakaa na kuishi na uchafu haswa makwenu na kwenye biashara zenu, hamjali kukanyaga uchafu.


Mwaka huu atasema atawapa ndege ya kusafiria, mfanye usafi.

Hamna aibu kabisaaaaaaaaa


Natumaini na hawawapa hilo gari hadi leo tangu mpewe ahafi hiyo.

Na huyo kiongozi hana aibu ninmchafu na hafai kuongoza. I hope by now amenyooka.
 
Halmashauri ya k/ndoni ilikua na wazo la mradi wa kutengeneza mbolea kutokana na taka za manispaa baada ya muda bashite kawatafuta wachina anawaomba waje kumsaidia project kama hiyo

Muda mwingine elimu ni inasaidia sana
 
Back
Top Bottom