Paul Makonda: Hivi hili Taifa tutaacha lini kupenda Umbea, Majungu na Uongo?

Watawala hupenda sana maandishi haya katika Biblia kuhalalisha mamlaka yao, yawe ni ya halali au haramu, na pia kuwanyamazisha wale wanaotaka kujua ukweli kuhusu uhalali wa mamlaka yao.

Aliyeyaweka alijua kuna watu kama wewe wasiotaka kusimamiwa ndio maana akasisitiza kwamba
"Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu.
Maana mwenye mamlaka ni mtumishi wa Mungu kwa manufaa yako. Lakini kama ukitenda maovu, basi ogopa kwa maana hatembei na silaha bure. Yeye ni mtumishi wa Mungu anayetekeleza adhabu ya Mungu juu ya watenda maovu"

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hayo maandiko yanaondolewa maana halisi ya utumishi wa MUNGU kwa kila kiongozi asiyetenda haki. Yaan upuuzi Kama wa kubambikia watu kesi alafu bado unasema yeye Ni mtumishi wa Mungu?.
 
Back
Top Bottom