Paul Makonda awataka wananchi wenye kero za kisheria kuonana naye Feb. 01

digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
7,887
14,326
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ametoa rai kwa Wananchi wa Dar es salaam wenye kero za Kisheria kujitokeza kwa wingi kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Mahakama kuanzia February 01 hadi 05, 2020, Viwanja vya Mnazi mmoja ili wapatiwe ufumbuzi wa kero zao.

RC Makonda kwa kushirikiana na Mahakama Kuu ya Kanda ya Dar wameandaa wataalamu wakiwemo Mawakili, Wanasheria, Polisi Dawati la Jinsia, Magereza, Chama cha Wanasheria Tanganyika pamoja na Wadau wa Kisheria wa kutosha kuhakikisha kila Mwananchi anaefika kwenye viwanja hivyo anapata huduma stahiki ya kisheria bila usumbufu wowote.

Walengwa wa zoezi hilo ni Wananchi wenye kero za migogoro iliyopo Mahakamani, mienendo ya kesi, wale ambao hukumu zao zimetoka na wanataka kukata rufaa lakini hawapewi nakala za hukumu kwa maandishi, Wananchi wasiojua wapeleke wapi kesi zao, malalamiko ya Mahabusu, Polisi pamoja na kesi za ukatili wa kijinsia.

Serikali ya Rais Magufuli inataka vijana wabunifu kama huyu. Mh. Paul Makonda piga kazi Mheshimiwa wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakimu Mtega, Wakili Wakyo Simon, Wakili Kadushi na Wakili Nchimbi watakuwepo?
 
Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda ametoa rai kwa Wananchi wa DSM wenye kero za Kisheria kujitokeza kwa wingi kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Mahakama kuanzia February 01 hadi 05, 2020, Viwanja vya Mnazi mmoja ili wapatiwe ufumbuzi wa kero zao.

RC Makonda kwa kushirikiana na Mahakama Kuu ya Kanda ya DSM wameandaa wataalamu wakiwemo Mawakili, Wanasheria, Polisi Dawati la Jinsia, Magereza, Chama cha Wanasheria Tanganyika pamoja na Wadau wa Kisheria wa kutosha kuhakikisha kila Mwananchi anaefika kwenye viwanja hivyo anapata huduma stahiki ya kisheria bila usumbufu wowote.

Walengwa wa zoezi hilo ni Wananchi wenye kero za migogoro iliyopo Mahakamani, mienendo ya kesi, wale ambao hukumu zao zimetoka na wanataka kukata rufaa lakini hawapewi nakala za hukumu kwa maandishi, Wananchi wasiojua wapeleke wapi kesi zao, malalamiko ya Mahabusu, Polisi pamoja na kesi za ukatili wa kijinsia.

Serikali ya JPM unataka vijana wabunifu kama huyu mh.PM,piga kazi Mheshimiwa wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ugoro mtupu huu.

Kila mwaka Mahakama huwa na huu utaratibu nchi nzima kwenye maadhimisho ya wiki ya mahakama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ametoa rai kwa Wananchi wa Dar es salaam wenye kero za Kisheria kujitokeza kwa wingi kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Mahakama kuanzia February 01 hadi 05, 2020, Viwanja vya Mnazi mmoja ili wapatiwe ufumbuzi wa kero zao.

RC Makonda kwa kushirikiana na Mahakama Kuu ya Kanda ya Dar wameandaa wataalamu wakiwemo Mawakili, Wanasheria, Polisi Dawati la Jinsia, Magereza, Chama cha Wanasheria Tanganyika pamoja na Wadau wa Kisheria wa kutosha kuhakikisha kila Mwananchi anaefika kwenye viwanja hivyo anapata huduma stahiki ya kisheria bila usumbufu wowote.

Walengwa wa zoezi hilo ni Wananchi wenye kero za migogoro iliyopo Mahakamani, mienendo ya kesi, wale ambao hukumu zao zimetoka na wanataka kukata rufaa lakini hawapewi nakala za hukumu kwa maandishi, Wananchi wasiojua wapeleke wapi kesi zao, malalamiko ya Mahabusu, Polisi pamoja na kesi za ukatili wa kijinsia.

Serikali ya Rais Magufuli inataka vijana wabunifu kama huyu. Mh. Paul Makonda piga kazi Mheshimiwa wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Again?
As usual, the gullible will listen to his antics.
 
Back
Top Bottom