Paul Makonda ateuliwa kuwa Waziri Mkuu MUCCOBS, Bunge lamkataa

Mkuu kwa wakati huo yalikuwa kama mambo ya "kitoto" sbb hatukujuwa kesho yetu.
Huu uzi ni wa 2011,hata bado Makonda hajamvuruga Jaji Warioba pale Ubungo Plaza.Kipindi hiki dogo alikuwa mtumwa wa Samwel Sitta.
Kumbe ni kweli dogo ali-disco mpaka chuo kikamchoka,hii ingeandikwa leo ingeonekana ni majungu.But this is 2011,Asante Sana Jamii Forum
Mkuu huu uzi wa kitambo ila kinachoendelea sasa kinazidi kuonyesha jamaa jinsi alivyo
 
Balaa hili jamani, kumbe makonda aliwahi kukataliwa na bunge la chuoni kwake, kufuatia uteuzi wake wa kuwa waziri mkuu wa chuo,kutokana na kutoeleweka kwake, kwamba alikuwa ni mtu asie maliza chuo kila siku yupo tuu.. Lol.. kama ni kweli basi hatari..
Picha hii inasambaa mtandaoni hii mitandao jamani ifungwe tuu.. Duu

b38e6dc4bcf7c517a5563447de7e66e9.jpg
IMG-20170227-WA0234.jpg
 
Balaa hili jamani, kumbe makonda aliwahi kukataliwa na bunge la chuoni kwake, kufuatia uteuzi wake wa kuwa waziri mkuu wa chuo,kutokana na kutoeleweka kwake, kwamba alikuwa ni mtu asie maliza chuo kila siku yupo tuu.. Lol.. kama ni kweli basi hatari..

b38e6dc4bcf7c517a5563447de7e66e9.jpg
View attachment 475145
wabongo kiboko naona mmeamua kuingia deep kama al qaeda
 
Back
Top Bottom