Paul Makonda ateuliwa kuwa Waziri Mkuu MUCCOBS, Bunge lamkataa

Kada wa Chama cha Mapinduzi, ndugu Paul Makonda ameteuliwa kuwa Waziri Mkuu katika Chuo cha Ushirika na Rais wa Chuo ndugu Godfrey Washoto lakini katika hali isiyojulikana Bunge limekataa kumuidhinisha kuwa Waziri Mkuu kutokana na kwamba ndugu Paul Makonda amekuwa haeleweki na wabunge hawana imani naye kutokana na kuhairisha miaka kila mara na miaka yote hamalizi chuo.

Bunge la chuo limehairishwa bila kupata muafaka
Ilidharauliwa....ila hii habari sasa ni dhahabu....it justify some news....

Ya kale hayanuki....
 
Kada wa Chama cha Mapinduzi, ndugu Paul Makonda ameteuliwa kuwa Waziri Mkuu katika Chuo cha Ushirika na Rais wa Chuo ndugu Godfrey Washoto lakini katika hali isiyojulikana Bunge limekataa kumuidhinisha kuwa Waziri Mkuu kutokana na kwamba ndugu Paul Makonda amekuwa haeleweki na wabunge hawana imani naye kutokana na kuhairisha miaka kila mara na miaka yote hamalizi chuo.

Bunge la chuo limehairishwa bila kupata muafaka

cc. Daudi umepita uku mkuu???
 
60 Reactions
Reply
Back
Top Bottom