Paul Makonda ateuliwa kuwa Waziri Mkuu MUCCOBS, Bunge lamkataa

Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,500
2,000
Mkuu kwa wakati huo yalikuwa kama mambo ya "kitoto" sbb hatukujuwa kesho yetu.
Huu uzi ni wa 2011,hata bado Makonda hajamvuruga Jaji Warioba pale Ubungo Plaza.Kipindi hiki dogo alikuwa mtumwa wa Samwel Sitta.
Kumbe ni kweli dogo ali-disco mpaka chuo kikamchoka,hii ingeandikwa leo ingeonekana ni majungu.But this is 2011,Asante Sana Jamii Forum
Mkuu huu uzi wa kitambo ila kinachoendelea sasa kinazidi kuonyesha jamaa jinsi alivyo
 

kitumbotala

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
518
1,000
Balaa hili jamani, kumbe makonda aliwahi kukataliwa na bunge la chuoni kwake, kufuatia uteuzi wake wa kuwa waziri mkuu wa chuo,kutokana na kutoeleweka kwake, kwamba alikuwa ni mtu asie maliza chuo kila siku yupo tuu.. Lol.. kama ni kweli basi hatari..
Picha hii inasambaa mtandaoni hii mitandao jamani ifungwe tuu.. Duub38e6dc4bcf7c517a5563447de7e66e9.jpg
IMG-20170227-WA0234.jpg
 
Feb 19, 2013
84
125
Balaa hili jamani, kumbe makonda aliwahi kukataliwa na bunge la chuoni kwake, kufuatia uteuzi wake wa kuwa waziri mkuu wa chuo,kutokana na kutoeleweka kwake, kwamba alikuwa ni mtu asie maliza chuo kila siku yupo tuu.. Lol.. kama ni kweli basi hatari..b38e6dc4bcf7c517a5563447de7e66e9.jpg
View attachment 475145
wabongo kiboko naona mmeamua kuingia deep kama al qaeda
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom