Paul Makonda ateuliwa kuwa Waziri Mkuu MUCCOBS, Bunge lamkataa

wabongo wameingizwa chaka...makondakta hana hata chembe ya kuwa mwanausalama.naona kuna watu wanataka kubadilisha gia angani ili ionekane jamaa anafanya kazi kwa maslahi ya taifa.. .wana recuirt wenye IQ zao ila wanawapa task ajabu za ajabu.so usishangae mtu ni shoeshine kumbe yupo kazini ila kichwani ana nondo zake.nakumbuka mwaka juzi udsm walichukuliwa vijana waliokuwa wanamalizia chuo walienda wakachukua list ya majina wakapiga mstari majina kadhaa.wale vijana wakapotea mpaka leo sijui wapo wapii ila sio kama daudi ambaye ana fail toka darasa la 4 eti system..system my foot..hawachukuagi vilaza wanachukua best candidate wenye IQ kubwa
hii sio kazi ya kanituma baba
Hata wale mnaohisi ni mambumbu yaani hawakusoma wana act tu wanankuwa ni wasomi. Kwa sababu wote inabidi waende chuoni wakasome na wafaulu.
 
Kada wa Chama cha Mapinduzi, ndugu Paul Makonda ameteuliwa kuwa Waziri Mkuu katika Chuo cha Ushirika na Rais wa Chuo ndugu Godfrey Washoto lakini katika hali isiyojulikana Bunge limekataa kumuidhinisha kuwa Waziri Mkuu kutokana na kwamba ndugu Paul Makonda amekuwa haeleweki na wabunge hawana imani naye kutokana na kuahirisha miaka kila mara na miaka yote hamalizi chuo.

Bunge la chuo limehairishwa bila kupata muafaka
 
kumbe RC wa jiji lenye watu wasio pungua 5M..na wasomi kuliko mikoa yote Ni Zero Zero na hana hata uzoefu wowote....kama kamaliza chuo 2013 uzoefu wa kuongoza jiji kaupata wapi.
Akili ndogo, kuongoza watu haihitaji uzooefu makonda kawashika vibaya
 
Unakijua chuo cha ishirika ww...au unaropoka tu...ezakawa hata ujasoma
Wewe ndiye utakuwa hukijui. Kama bado hadi muda huu kinaitambua degree ya Paul Christian Makonda pamoja na ushahidj kuonyesha kuwa Paul alipewa degree kwa kutumia cheti kisischo chake kwa kuwa yeye alikuwa failure form 4.
Chuo makini wangeiitisha degree yao
 
Paul Makonda ambeye ni waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi wa MUCCOBS amewaragaraza marais zaidi ya sita kutoka katika vyuo vya elimu ya juu hapa tanzania katika kinyang'anyiro cha kugombea uraisi wa TAHLISO.

Paulo Makonda ambaye pia ni kada maakini wa ccm ameudhibitishia umma kwamba yeye ni kiongozi anayekubalikana anavuto kwa watanzania ndani ya ulingo wa siasa na nje pia.

Nani kama MAKONDA???
Baba yake
 
kumekucha watu wameenda kufukua Kabuli la makonda ha ha ha ha ha kwa kweli ukiingia kwenye siasa jipange
 
Hii inathibitisha bwana bashite Ni bogus! Fuvu tu lisilokuwa na ubongo ndani, Bali Lina matonge ya ugali.

Kabla ya ubunge atuletee kwanza vyeti vya kuanzia O level, certificate, diploma na bachelor!

Huyu bwana hatakiwi kuwa uraiani, anatakiwa awe segerea Ni mhalifu Kama wahalifu wengine!


Vyeti feki, uvamizi wa kutumia silaha kwenye studio za watu, mropokaji, mhujumu mchumi, mkwepa Kodi, kila Aina ya takataka, hata aibu Hana!

Shame on you bashite!
Mkuu ushawahi kuuza ngada akakudhalilisha?
Mbona una chuki binafsi naye sana?
 
Back
Top Bottom