barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,726
- 32,818
Ataipate na wakati alizikimbia Supp tatu zenye mapacha?Unacheza na Supp zenye pacha?Asee Jf ni kiboko, kwa hiyo hata Transcript tu hana hahahaaaaaa
Ataipate na wakati alizikimbia Supp tatu zenye mapacha?Unacheza na Supp zenye pacha?Asee Jf ni kiboko, kwa hiyo hata Transcript tu hana hahahaaaaaa
Dah kumbe ana elimu ya mwendokasi, wale wakaguzi wa vyeti waanze naye.Ukitaka kumshika,mwambie akupe Transcript
Hahahaha.. Jf raha sana?Mkuu kwa wakati huo yalikuwa kama mambo ya "kitoto" sbb hatukujuwa kesho yetu.
Huu uzi ni wa 2011,hata bado Makonda hajamvuruga Jaji Warioba pale Ubungo Plaza.Kipindi hiki dogo alikuwa mtumwa wa Samwel Sitta.
Kumbe ni kweli dogo ali-disco mpaka chuo kikamchoka,hii ingeandikwa leo ingeonekana ni majungu.But this is 2011,Asante Sana Jamii Forum
Daah..ktambo io shule..<br /><br />
<br /><br />
nelson rukiza,nahc hili jina c geni kwangu,umesoma advance st mathew,ukahitim 2009?