baraka boki
Senior Member
- Sep 20, 2010
- 181
- 80
Kada wa Chama cha Mapinduzi, ndugu Paul Makonda ameteuliwa kuwa Waziri Mkuu katika Chuo cha Ushirika na Rais wa Chuo ndugu Godfrey Washoto lakini katika hali isiyojulikana Bunge limekataa kumuidhinisha kuwa Waziri Mkuu kutokana na kwamba ndugu Paul Makonda amekuwa haeleweki na wabunge hawana imani naye kutokana na kuahirisha miaka kila mara na miaka yote hamalizi chuo.
Bunge la chuo limehairishwa bila kupata muafaka
Bunge la chuo limehairishwa bila kupata muafaka