Paul Makonda ashindwa kufika Mahakamani katika kesi inayomkabili. Kesi yaahirishwa hadi 08 Feb 2022

Dhuu kweli dunia inazunguka kwa kasi sana.
Yaani nawaonea huruma sana hao walojipinda hapo na misaluti yao
Mijitu ambayo haina shule inampigia saluti mwenzao aleye feli kama wao
Only in Tz
Acha ujinga unatutukana wengi kwa sentensi yako hii
 
makonda-1.jpg
 
Kuna wasaa tunawalaumu wanasiasa kukodi mawakili wa kigeni lakini kwakweli mambo mengine ata kama limbukeni wa sheria ukiwasikiliza baadhi ya hawa mawakili wetu wasomi unaona kabisa ata kama ulikuwa na kesi ya kushinda huyu bwana mwakilishi kama mwenzake wa upande wa pili amebobea atakupeleka jela.

Kitendo tu cha kusajili hii kesi kinaonesha ata hizi mahakama zinahitaji kukaguliwa.

Inanikumbusha yule bwana alietaka kushitaki makampuni ya simu, wachache tukasema awezi baada ya muda akapotea, mambo mengine yanawezekana Tanzania. Kibaya zaidi kuna watu wapo mahabusu muda wa mahakama awapati, halafu wenye vichenji vyao na vinasaba vya siasa wanatumia vibaya muda wa mahakama kila siku.
 
sheria itakuwa inafaidi sana kukaliwa na lile li msambwanda
(alisikika mlevi mmoja)
 
Back
Top Bottom