Paul Makonda apewe Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,055
Nikimtazama Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda namuona anafaa zaidi kutumikia Wizara husika.

Kasoro naiona ipo kwenye habari tu hapo, lakini sanaa, utamaduni na michezo atamudu kwa sababu ana mapenzi navyo.

Makonda ana ujana mwingi na anapenda kazi za sanaa hasa michezo, muziki na filamu. Hata maisha yake amekuwa akijiweka karibu sana na wasanii.

Mimi nashauri apelekwe huko huenda akafanya kitu cha maana kwa vile ana passion, japo itambidi awe na mikakati ya dhati kama anataka kufanya mapinduzi hususan kwenye eneo la Sanaa na Burudani. Na sio publicity stunts!

Dkt. Mwakyembe apewe Ukuu wa Mkoa? Sijui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upuuzi mtupu. Kampe ubunge kwanza!!! Jitu lisilostahili kuwa mtumishi wa umma kwa kufoji vyeti ndiye awe waziri? Huyu ni mtuhumiwa wa kesi ya jinai. Anastahili kuwa mahabusu.
 
Dah,watu kweli tuna mawazo tofautiyaani huyu jamaa eti anafaa kuwa waziri!!.
Kama kuna kitu kibaya kuwahi kutokea mkoa wa dar huyu jamaa ni moja wapo.
Ile kauli ya usafi mpaka saa nne dar iliuwa biashara nyingi za watu,na hii anayofanya maandalizi yasiyo na kichwa wala miguu ni kuwapa hao wachezaji 'unneccessary pressure' yaani kuzuungukwa na mijitu yote hiyo ambayo haijui hata huo mpira alafu iongee kama proffessionals, sidhani kama itawasaidia hao wachezaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikimtazama Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda namuona anafaa zaidi kutumikia Wizara husika.

Kasoro naiona ipo kwenye habari tu hapo, lakini sanaa, utamaduni na michezo atamudu kwa sababu ana mapenzi navyo.

Makonda ana ujana mwingi na anapenda kazi za sanaa hasa michezo, muziki na filamu. Hata maisha yake amekuwa akijiweka karibu sana na wasanii.

Mimi nashauri apelekwe huko huenda akafanya kitu cha maana kwa vile ana passion, japo itambidi awe na mikakati ya dhati kama anataka kufanya mapinduzi hususan kwenye eneo la Sanaa na Burudani. Na sio publicity stunts!

Dkt. Mwakyembe apewe Ukuu wa Mkoa? Sijui.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Katiba ipi?
 
Kama kigezo ni kupenda sanaa na kama uwaziri wanapewa tu kama embe kwanini asipewe Diamond au Mziwanda au Nandy? Nafikiri hawa wanapenda zaidi kuliko huyo ulomtaja.
 
Back
Top Bottom