Paul Makonda anza kufanya 'Mazoezi' ya Kuishi 'Jela', kwani Waziri mpya wa Habari Nape hakuachi na kawekwa hapo 'Kimkakati' zaidi

Tena Nape km unanisikia mie kamchukue unywe nae chai mpende tu bure! tena mnooo! huyo kijana!.....ukizidisha upendo atajifia kwa wasi wasi mpende kidogo tu!....adui mpende!
 
Ukiishi Kwa kisasi,utakufa Kwa kisasi.

Hapaswi kufikiri kulipa kisasa.zaidi ASAIDIE watanzania kuondokana na umasikini na matatizo yao mengine.
 
32 Reactions
Reply
Back
Top Bottom