Paul Makonda anajua maana ya Presumption of Innocence na Habeas Corpus?

HNIC

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
1,898
2,195
No one can terrorise a whole nation, unless we are all his accomplices.
-Ed Murrow (1954)


clementine-header.png




Kwa sasa kama nchi tuko kwenye zama za Kafkaesque

Kuna kila dalili kuwa tuko njiani kuelekea kuiondoa au kususpend Habeas Corpus na hata ikiwa suspended sidhani kama tutaishia hapo

Naomba wana JF mumps somo huyu kuhusu Habeas Corpus na mambo ya Ei incumbent probation qui digit, non qui neat (the burden of proof is on the one who declares, not on one who denies)

Hii habeas corpus ipo under section 390 of the Criminal Procedure Act ya Tanzania na pia tusahau kuwa kama nchi tume sign mikataba mingi tuu including huo wa Universal Declaration of Human Rights.

Sasa iweje mtu awe na all that power and resources that he has halafu asiwe na legal minds kumshauri nini aseme,wapi na katika mazingira gani? Vyombo husika vipo vya kupigana hii vita ya madawa na sielewi kuna agenda gani ya kufanya haya school boy errors unless its a distraction.

What if hao alioatuhumu wakamfungulia mshataka je Jamhuri, au Mkoa wa Dar au eye Makonda atakuwa na uwezo wa kuwalipa? Kama hana this means the State (which translates kuwa ni mlipa kodi) ndiye atakaye lipa hizo fidia

But why? and how did we get to this point at a nation?
 
Cha kujiuliza ni je, ofisi ya mkoa haina wana sheria!!?
Je ofici ya RPC nayo haijui utaratibu wa kisheria!?
Ukicheki ki uhalisia kuna shida ya kubwa kwa vingozi kufuata taratibu, of coz hata Rais mwenyewe ni mvunjaji wa taratib na sheria sana
Mkuu,tatizo ni kupenda "self glory" zaidi. Huwezi kuwashirikisha wengine kama wewe ni mbinafsi,na mbaya zaidi,kama unawaonyesha wafanyakazi wenzako kuwa wewe ni "choosen one".
 
Ukiangalia kuanzia juu wote wanapenda zaidi kusifiwa hawataki kukosolewa.Na sifa ikizidi basi mambo huharibika.

Vijana wengi wa Lumumba hii ni pamoja na Viongozi wa CCM wengi wanapenda sana Upinzani ukidhilishwa bila kujua kesho yako.

Hivyo ukimdhalilisha Mpinzani kama vile Mbowe,Lissu,Lema.nk nk basi una uhakika wa kupanda cheo. Hapo makonda anapiga hesabu either Ubalozi au uwaziri
 
Presumption of innocence pia iko provided na Katiba, sikumbuki ni article ngap lakini inasema everybody is presumed innocent till proven guilty. Ile kichwa sijajua kama haishauriki au ni hewa tu imejaa kichwani, in fact nchi inaenda kama gari bovu. Hovyooo tu
 
Baada ya muda msijemkashangaa vita vimeisha. Yeye alitumiwa memo ila mwandaaji alijificha. Sasa mwisho wa siku mpelekwea memo anabakia mwenyewe kama punda wa madawa wanavyobaki na kuuawa wenyewe. Kwanza siku ya kwanza tu alitakiwa kupewa mwongozo na huwezi kuniambia uncle j hakua anayajua hayo majina au san au gp
 
Back
Top Bottom