Paul Makonda amtaka Tundu Lissu kurudi Tanzania haraka sana

Namshauri makonda na yeye aende ulaya kuhubiri hayo alo yaiita mazuri.
Kwa sasa afanye mengine tu, mfano dar ni mji mchafu sana na masika ndio hii inakuja drainage systems zimeboreshwa.
Swala la Lissu linampotezea tu muda.
 
Habari wakuu
Hivi karibuni mh tundu lissu kupitia vyombo vya habari vya kimataifa amedai ana ushahidi kuwa serikali ya mh magufuli ndio imehusika na shambulio lake.Jambo ambalo ni zuri kama akiwakilisha evidence zake kwa nini anahisi hivyo kwa jeshi la polisi ili kusaidia uchunguzi na kuwezesha haki kufanyika .Hivyo tunamuomba tundu lissu arudi nchini asaidie uchunguzi coz hao bbc cnn dw sio polisi na hawawezi kumsaidia kisheria zaidi zaidi tunamuona kama kitruko
 
..shahidi akiwa nje ya nchi kuna utaratibu wa kuchukua maelezo yake. Siyo lazima arejee nchini.

..Mwanasheria Mkuu anatakiwa apeleke maombi Ubelgiji ili wapelelezi wa huko wamhoji na kumchukua maelezo Tundu Lissu na dereva wake.

..Tundu Lissu alishatoa ufafanuzi huo tangu akiwa Nairobi lakini serekali haijachukua hatua zozote mpaka sasa hivi.

..Kwa hiyo wanaopaswa kulaumiwa kwa kukwamisha uchunguzi ni serekali na jeshi la polisi.
 
We masikini nakuonya mara ya mwisho achana na Lissu , Mh Lissu si wa kupambana na dagaa kama wewe .
 
Tundu Lissu atakuacha vibaya ndugu achana nae tu. Angalia sasa unavyoandika sijui unaandika nini hata haueleweki hoja iko wapi, aya iko wapi nk.

Nani alikwambia jina la mtu linaanza na herufi ndogo, vifupisho vinaandikwa kwa herufi ndogo ? Mkuu unatania hebu kuwa makini basi wewe ni Verified Member

Uandishi wako tu unaonesha hata hoja hauna ila umejiandikia tu na wewe uonekane unamshauri LIssu badala kuchukua madini toka kwa Lissu .
 
Sijamaliza kusoma Ila nauliza kwani Lissu ni mbunge wa wapi au Kuna ujinga unaendelea wa makonda ???

Lissu ni mbunge wa Jimbo gani? Pia makonda na Lissu wapi na wapi? Dogo amechemka amalozane na GSM na ule mkataba wake feki anabandika picha juu ya mhuri na ananunua kiwanja Ada Estate kwa milioni 120 😃😃😃

Mkitoka vijijini mkipata nafasi muwe mnatulia na kuuliza kwa wenyeji wa mjini sio kujifanya unatunisha makalio mji mzima.
 
Sijamaliza kusoma Ila nauliza kwani Lissu ni mbunge wa wapi au Kuna ujinga unaendelea wa makonda ???

Lissu ni mbunge wa Jimbo gani? Pia makonda na Lissu wapi na wapi? Dogo amechemka amalozane na GSM na ule mkataba wake feki anabandika picha juu ya mhuri na ananunua kiwanja Ada Estate kwa milioni 120

Mkitoka vijijini mkipata nafasi muwe mnatulia na kuuliza kwa wenyeji wa mjini sio kujifanya unatunisha makalio mji mzima.
Usihangaike hii ni thread ya 2019
 
Back
Top Bottom