Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amemsimamisha kazi engineer Mkuu wa Mkoa wa Dar, Josephat Shehemba kwa kushindwa kusimamia majukumu yake vyema.
Mkuu wa mkoa amenukuliwa akisema "Kwa muda mrefu kuna watu wamekuwa wanafanya kazi kwa mazoea sasa na kila tunapoelekezana hawafanyi kazi vile tunavyotaka mambo yaende sawa, sasa basi kutokana na ubovu wa barabara zetu lakini kwa mamlaka hayo tunae Engineer mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Josephat Shehemba ambae kazi yake kuhakikisha taratibu zote zinatekelezwa na wafanya wake''
Mkuu wa mkoa akaendelea kwa kusema "Nimemuandika barua kumsimamisha kazi Engineer mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwa kutotimiza wajibu wake wa kazi na kupoteza mabilioni ya fedha ambazo zingetusaidia kutengeneza barabara zetu, uchunguzi unaendelea kwa makandarasi wote waliojenga barabara chini ya kiwango watafikishwa katika vyombo husika''