babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,101
- 15,991
Alafu ahame mji wetu wa Dar, maana ni mzururaji na akirudi kusalimia awe kaogaAsije akaleta janja janja ya Lipumba.. this time tunakomaa naye.. akabidhi ufunguo
Alafu ahame mji wetu wa Dar, maana ni mzururaji na akirudi kusalimia awe kaogaAsije akaleta janja janja ya Lipumba.. this time tunakomaa naye.. akabidhi ufunguo
Hemu TUSAIDIE bwana. Sisi anatu dharau Sana huyuMakonda unatoa hautoi?
Wale wajumbe wa kigamboni( wajumbe wa taifa),wamemfanya jamaa awe kituko cha taifa kwa kasi sana. COME BACK HOME ROMA,R.I.P BEN SAANANE.Alafu ahame mji wetu wa Dar, maana ni mzururaji na akirudi kusalimia awe kaoga
Nashangaa.. au sababu ni DarKwani haiwezekani kukabidhi kimya kimya?
Nasoma kama ilivyoandikwa "Naye akanena mbele ya mafalisayo ijapukuwa ukaribu na malisho mabichi home shopping center( GSM),kamwe usiteme kalanga kwa big g......."USIACHE KAZI, KABLA HUJAPATA KAZI
Makonda 7 : 13 - 19
Mbona mikoani ham discuss?Hiyo ofisi ni mali ya wananchi sio nyumba binafsi hivyo lazima waambiwe kila hatua kwa kinachoendelea ni sheria.
Kwani Ole sendeka hajakabidhi? Kwani Mnyeti hajakabidhi?Mbona mikoani ham discuss?
Aliwatesa sana wale, jamaa. Kuanzia kuwapora magari mpaka kuwakamuwa hela kimabavu, ila GSM nawo hatuwezi waonea huruma biashara zao zina maswali mengi mno..Nakumbuka alivyoteuliwa ukuu wa mkoa inasemekana gsm waliikarabati kwa takribani milioni 400
Akifikiria hilo anatamani ameze funguo.
Umesoma ukaelewa lakini? Nenda na time frame ndio utaelewaKumbe sababu imetajwa kwenye screenshot yako apo. au umekimbilia kusoma mstari mmoja tu?
Kilichomuondoa sio kura ya maoni. Na msiba umetokea zaidi ya wiki moja toka atemwe.Baada tu ya kura za maoni kule CCM taifa likapatwa na msiba wa hayati Mkapa so Kunenge alikuwa busy na shughuli za msiba.
Jumatatu panapo uzima zoezi litakamilika bwashee!
Atatoa tuHemu TUSAIDIE bwana. Sisi anatu dharau Sana huyu
kwa jinsi mambo yanavyoendeshwa kindugu-ndugu chini ya awamu hii, si ajabu kukuta kumbe Makonda bado ni RC while huyu wa sasa ni proxy tu.
there're all signs Bashite is still in control.
ana sura ka kinda la ndege 😀ha ha ha
Umenikumbusha yule buda
Government name Theodore Bagwell
Ok nimekumbuka hata Prof wa ukweli alikabidhi ile ofisi ya CAGHiyo ofisi ni mali ya wananchi sio nyumba binafsi hivyo lazima waambiwe kila hatua kwa kinachoendelea ni sheria.