Paul Makonda alitakiwa akabidhi Ofisi leo, zoezi limeahirishwa hadi Jumatatu. Je, Makonda atakanusha kugombea Kigamboni kupitia ACT-Wazalendo?

USIACHE KAZI, KABLA HUJAPATA KAZI

Makonda 7 : 13 - 19
Nasoma kama ilivyoandikwa "Naye akanena mbele ya mafalisayo ijapukuwa ukaribu na malisho mabichi home shopping center( GSM),kamwe usiteme kalanga kwa big g......."
 
UPDATES; 1324HRS

Zoezi la kukabidhi Ofisi leo limeahirishwa kutokana na sababu zilizo njena uwezo wa Mkuu wa Mkoa Kunenge. Ratiba imebana sana hivyo itapangwa siku nyingine ikiwezezekana Jumatatu.
 
Mbona na Ole Sendeka amekabidhi wiki hii hii,sasa kwa Makonda mbona inakuwa habari kubwa sana.Kwa style hii Mhe. anaweza kumteua tuu halafu ampe Cheo zaidi mpaka tushangae.
 
Nakumbuka alivyoteuliwa ukuu wa mkoa inasemekana gsm waliikarabati kwa takribani milioni 400
Akifikiria hilo anatamani ameze funguo.
Aliwatesa sana wale, jamaa. Kuanzia kuwapora magari mpaka kuwakamuwa hela kimabavu, ila GSM nawo hatuwezi waonea huruma biashara zao zina maswali mengi mno..
 
Baada tu ya kura za maoni kule CCM taifa likapatwa na msiba wa hayati Mkapa so Kunenge alikuwa busy na shughuli za msiba.

Jumatatu panapo uzima zoezi litakamilika bwashee!
Kilichomuondoa sio kura ya maoni. Na msiba umetokea zaidi ya wiki moja toka atemwe.
Au alikuwa anapewa muda wa kuondoa hirizi zake?
 
kwa jinsi mambo yanavyoendeshwa kindugu-ndugu chini ya awamu hii, si ajabu kukuta kumbe Makonda bado ni RC while huyu wa sasa ni proxy tu.

there're all signs Bashite is still in control.


Mkuu:
Hakuna kitu cha namna hiyo.
 
Hahaa
Screenshot_20200802-092403.jpg
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom