Paul Makonda alipokuwa akikagua athari za Mvua

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Mkuu wa mkoa Dar es Salaam, Mwenye Mkoa Wake mwenyewe akikagua athari za Mafuriko Dar Vyombo vya Habari vikimiminika huku Vijana wa Mafisadi Mitandao roho ikiwauma Rais wa Mkoa wa Dar es Salaam akiwatembelea Wananchi wake.

Rais wa Dar es Salaam, Mwenye Mkoa Wake mwenyewe akikagua athari za Mafuriko Dar Vyombo vya Habari vikimiminika huku Vijana wa Mafisadi Mitandao roho ikiwauma Rais wa Mkoa wa Dar es Salaam akiwatembelea Wananchi wake.

Long Live Paul Makonda C.c. @W.J malecela

Kama nyumbani pia huwa unamsifu hivyo baba watoto wako talaka sahau kabisa huwezi kupewa
 
Sijui kama unajua maana ya hilo "simba wa vita". Najua unampenda sana, kiukweli hana sifa ya jina hilo. Angalieni jinsi mjiinuavyo, kuna mambo mazito sana kwenye majina, jiangalieni
 
Kama nyumbani pia huwa unamsifu hivyo baba watoto wako talaka sahau kabisa huwezi kupewa
Mimi huwa situkani Utaratibu wa huku hatuvuti Bangi wala Kutumia Cocaine/heroine so Matusi yatanitoka Vipi?
 
Rais wa Dar es Salaam, Mwenye Mkoa Wake mwenyewe akikagua athari za Mafuriko Dar Vyombo vya Habari vikimiminika huku Vijana wa Mafisadi Mitandao roho ikiwauma Rais wa Mkoa wa Dar es Salaam akiwatembelea Wananchi wake.

Long Live Paul Makonda C.c. @W.J malecela

Ungeandika kama unatoa taarifa ungeonekana wa maana sana, sasa wewe unaandika kimbeambea tu, na inavyoonekana wewe ndiye huwa unaumia huyo mkuu wako wa mkoa anapopondwa. Acha ujinga wewe. Toa taarifa kama unataka kuwapa watu habari, kama huwezi nyamaza.
 
Mkuu wa mkoa Dar es Salaam, Mwenye Mkoa Wake mwenyewe akikagua athari za Mafuriko Dar Vyombo vya Habari vikimiminika huku Vijana wa Mafisadi Mitandao roho ikiwauma Rais wa Mkoa wa Dar es Salaam akiwatembelea Wananchi wake.

Tapeli
 
Back
Top Bottom