Mpekuzi Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 586
- 908
TANZANIA MPYA, NAJIVUNIA KUISHI TANZANIA INAYOONGOZWA NA JPM
Aliwekwa pembeni na nani?!Malasusa alishawekwa pembeni Sisi tuko Na shoo
Umeuliza au umejibu?Wewe unaweza kukariri!
Ni katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere.
Karibu!
Kardinali Pengo na Sheikh wa mkoa kwa niaba ya Mufti wanauombea mkutano huo.
Sasa viongozi wa dini wanaangalia mkanda wa video unaomuonyesha RC Makonda akitolea ufafanuzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo.
Huyu jama yuko smart hatari, nashangaa sana wanaotukana kila leo eti hana vyeti na anabebwa, ni wachache sana wenye uwezo wa kufanya anayofanya, anaelezea vitu ambavyo viko kichwani na anavielewa na anafatilia.
God Is Not Stupid
God will burn this people for their mockery over him....
Wait and see!!
Cheza na vyote sio nguvu za Mungu
Zitawaangamiza na kuwaponda vipande vipande na halitosalia jiwe juu ya jiwe
Na mseme Amina!!!...
Mambo ya imani ni moja ya vitu vya ajabu sana hapa duniani, mawazo yako naamini yatasikiwa na kufanyiwa kazi.
Huu uzi nauona kabisa utavyojaa mapovu ya wafia dini.
Hahahaaa....... mkoa wa Moshi!Ila kasema mkoa wa Songea
Wapi?