Paul Makonda akiwa na Magari yake Picha nyingine ni kituo cha polisi Kakonko

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
TANZANIA YETU

MKUU wa mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda akiwa katika muonekano tofauti na Magari yake

Picha nyingine inaonyesha moja ya kituo kidogo cha polisi kilichopo Wilaya kakonko, Buyungu, Kigoma

Nawatakia Wakristo wote nchini Ijumaa kuu njema

FB_IMG_1555688329304.jpg
FB_IMG_1555688334580.jpg
FB_IMG_1555688338959.jpg
FB_IMG_1555688343587.jpg
FB_IMG_1555688348319.jpg
 
Sijali kuhusu hayo magari ya Makonda ndo wakati wake wa kula bata ila nimeamua tu kuchukua wasaa kuwaza kuhusu hicho kituo cha watu wenye sifa ya kuwachakaza wananchi mpka wachakae kwa kipigo!
Wananchi wanaolipa kodi zao ili hao jamaa wapate mshahara!
Yaani mtu unaemlipa mshahara anaamua tu Kukuchakaza kwa kipigo na bado unaendelea kumlipa!
Sasa hicho kituo cha wachakazaji (kwa mujibu wa picha)
Ndo nimekishangaa sana asee!!
 
ndio nchi yetu hiyo yenye 'amani' na utulivu, unalipa kodi ili ulindwe lakini uliowaajiri wanakutishia kukupa kipigo hadi uchakae! lakini meza zikipinduliwa huwa wanatia huruma sana, uvumilivu unakikomo chake, kuna siku kitu kidogo wasichokitegemea kita washa moto.
 
Back
Top Bottom