chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,553
- 2,073
Huyu hana miaka mingi
Kule hakuna cha adhanaa za msikitini Wala kengele za kanisani.,zote ni marufuku.Noise pollution.Mbona misikiti wanatuamsha saa 10:30 na wakati siyo wote ni waislamu?
safi kabisaKule hakuna cha adhanaa za msikitini Wala kengele za kanisani.,zote ni marufuku.Noise pollution.
Gwajiboy aisome kwenye jalada.“I have closed over 6000 churches and mosques in my country and I am now demanding for a theology degree for every religious leader.
Stop playing with people's faith and making it a business. Rwanda is already a blessed country, ”Rwandan President Paul Kagame said.
Unampa miaka mingapi?Huyu hana miaka mingi
Kasahau kitu KagameI love this move. If this can be replicated in Tanzania, maybe, we won't hear noises from the likes of Gwajima and co.
kwa hiyo misikiti marufuku zile spika zao juu?Masharti mengine wameambiwa hakuna kuanzisha kanisa Kama hauna jengo permanent (makanisa ya tent/mabati Ni marufuku),Kama hauna sound proof(noise pollution) marufuku kufungua kabisa,Safety measures kibao.Ukishindwa kufuata Ni marufuku.Masharti kibao.
kwa hiyo misikiti marufuku zile spika zao juu?
Catholic Church was the cause of genocide in Rwanda should it continue to there?Now if every one declares that he has such revelation from God, wont it be cheos. Religions must be regulated to safeguard the interest of the public otherwise if every impurity is free to do what he wishes it will bring killings like what happened during genocide. So kagame is right and in Tanzania only catholisicsm and islam should be the only religion, others are only looking for tithe.
vipi kuhusu bar nazo kazipa masharti hayo hayo au ni kwa makanisa tu?Masharti mengine wameambiwa hakuna kuanzisha kanisa Kama hauna jengo permanent (makanisa ya tent/mabati Ni marufuku),Kama hauna sound proof(noise pollution) marufuku kufungua kabisa,Safety measures kibao.Ukishindwa kufuata Ni marufuku.Masharti kibao.
vipi kuhusu bar nazo kazipa masharti hayo hayo au ni kwa makanisa tu?
vipi kuhusu mikutano yake ya kisiasa nayo inakuwa na sound proof?Kama makanisa na misikiti hakuna kelele unadhani bar hali yao itakuwaje?
Inakua na Speaker kubwa zilizowekwa sauti za Porn.vipi kuhusu mikutano yake ya kisiasa nayo inakuwa na sound proof?
uongo mtupu mikutano yake Kagame ina mispika mipiga kelele kama kawaidaInakua na Speaker kubwa zilizowekwa sauti za Porn.
uongo mtupu mikutano yake Kagame ina mispika mipiga kelele kama kawaida
Tatizo ni kudhani kila mtu lazima atumie Biblia sio kweliAlitumia mstari gani kwenye wa biblia kuwakalia😅😅😅😅
Kule akileta story za kupinga chanjo au kubishana na Waziri tu,kesho Yake atakutwa amepata ajali na amekata Moto afu story imeishia hapo.Kama Gwagima ana tawi kule Rwanda, anaitwa aonyeshe degree yake ya Theology.