Paul Kagame amtuhumu Tshisekedi kutumia mgogoro wa M23 ili kuchelewesha Uchaguzi Mkuu

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,357
8,064
Rais Paul Kagame amesema uongozi wa sasa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unasababisha dharura ya Kiusalama na kuihusisha Rwanda ili kutofanya Uchaguzi Mkuu wa Desemba 2023.

Kagame amesema “Tatizo hili linaweza kutatuliwa ikiwa Serikali haitajaribu kuleta dharura ili Uchaguzi usifanyike, kama anatafuta njia nyingine ya kuahirisha uchaguzi, basi atumie visingizio vingine, siyo sisi.”

Ameongeza kuwa mzozo uliporejea, aliomba kutoa msaada kwa Serikali ya DRC ili kupambana na baadhi ya makundi ya waasi lakini Tshisekedi alikataa.

================

Rwandan President Paul Kagame on Wednesday accused DRC leader Felix Tshisekedi of exploiting the ongoing insecurity in eastern Congo to postpone next year’s presidential election.

Addressing a parliamentary session after the signing in of new members of the Cabinet, President Kagame said he believes the current leadership of the Democratic Republic of Congo is creating a security emergency a year before the country holds presidential elections in order to find a reason to postpone the elections scheduled for December 2023.

“This problem can be resolved if one country headed for elections next year is not trying to create an emergency so that the elections don’t take place, not that he won the first elections as we know. If he is trying to find another way of having the next elections postponed, then I would rather he uses other excuses, not us,” Kagame said.

Tshisekedi came to power in January 2019 and DRC will hold its next presidential election in December 2023.

President Kagame was addressing MPs on Wednesday while officiating the swearing-in of Rwanda’s new minister of Health, Dr Sabin Nsanzimana, and the permanent secretary in the ministry, Ivan Butera.

In his speech that lasted for over an hour, President Kagame said Congo has focused on the M23 rebel group, even when over 400 other armed groups are operating in eastern DRC.

The M23 is among armed groups that have turned eastern DRC into one of Africa's most violent regions.

‘Assistance declined’
He said that when the conflict resumed, he offered President Tshisekedi assistance to fight off some of the rebel groups including the Forces démocratiques de libération du Rwanda (FDLR), which is said to be responsible for the 1994 Genocide against the Tutsi, but the DRC leader declined.

Given how long the conflict has been ongoing and how attempts to solve the issue remain ineffective, President Kagame said that he believes that someone somewhere wants the issue to remain unresolved.

“It has become so convenient for a long time that all problems are put on the shoulders of Rwanda. Rwanda is always the culprit, not FDLR. The government of DRC should be responsible for its people, not the UN, not the powerful countries like the US, UK, and France. Why does it always come back to Rwanda,” Kagame said.

He added that “the blame that Rwanda carries for DRC issues should be carried by Congo and those who want to alleviate DRC’s responsibilities”.

Military clashes between rebel groups in the eastern DRC have forced thousands out of their homes. By Monday, a ceasefire between government troops and M23 rebels appeared to hold for a third day despite clashes between rival militias.

THE EAST AFRICAN
 
Tshisekedi is a right president that suit DRC, Wakongo wampe urais wa kudumu kwa kipindi hiki cha mpito ili airekebishe DRC.
 
DRC inachezewa sana. Cha kushangaza umoja Wa Afrika na ule Wa mataifa wameshinwa kabisa kuja na suruhisho.

Rasilimali za Congo zinanufaisha zaidi mataifa tajiri na kiasi kidogo sana kikienda kwa vibaraka kama shukrani kwa kazi iliyofanywa kwani vibaraka hao hakuna maajabu yoyote ya kiuchumi wanayofanya kwenye nchi zao kulingana na kazi kubwa wanayofanya kule mashariki ya Kongo.

Suruhisho la migogoro ya Congo lipo nje ya bara la Afrika.


"NCHI ZOTE ZA AFRIKA TUTAZIPA UHURU WAO, NA KAMWE KONGO HAITAKUWA HURU"
 
Lakini M23 wamekubali ceasefire. Kwa hiyo tatizo limekwisha. Lakini swali alilouliza Kagame ndilo hilo hulo ninalouliza mimi. Kila siku walikuwa wanajaribu kusuluhisha vita. Kitu gani kilikuwa kinawakwamisha?
 
Back
Top Bottom